thanx d...... jazia hapo
leo wapi?
nawe ubarikiwe sana mkuu.. Hapo mwisho naomba udelete muda wake umeishaamen, that the way to greatness, taking the positives and moving fwd boldly. Mungu akubariki uzidi kusonga mbele. Ujumbe wako umenigusa sana kipekee. pole sana.
nawe ubarikiwe sana mkuu.. Hapo mwisho naomba udelete muda wake umeisha
MBONA HUKUJA TANGA DEAR? MISS U A LOT OVER THERE U cacico &Lara1keep on smiling......mie kwa mwaka huu unaoishia MUNGU amenitendea mengi mazuri kwakweli, nilianza mwaka kwa machozi ila nashukuru naumaliza kwa Smile....nimepata mengi yale niliyomwomba....ingawa moja bado bt naamini 2013 atanipa....tushukuru kwa yote!!!
ahaaaa mimi huwa sisemi uongo mkuu namshukuru Mungu nikiamua ni nimeamua !hapa nachekelea tu liwalo na liweAsante, usijali dear, gone are those days. ningekua mwalimu ningesema nimeandika ivyo nione kama utaikubali wakti umeshaitupa kapuni. chezeya waalimu wewe? LoL
huzuni na kulialia tena mamii hujambo? mbona hukuja tanga?
yap maisha sio muchezo wanasema kua uyaone ...tumekua tumeyaona haya sasa tujinyonge tufe au ndo hivo tupigane nayo::
Kweli smile is better than crying na to reach happiness unahitaji kutembea mile nyingi,,that's why ukaziona si kitu na ukawa si-mile
=