tupeaneni kontakt kabisa, naona sheitwani anaitafua damu ya mtandao huu.
I will miss you in advance
Wakiufunga,mimi nitafilisika kimawazo kabisa! Tumwombe Mungu akatuokoe na huyu mwovu SHETWANI anayetaka kuiangamiza JF yetu, Amen.aaah wapi....wao wakijua hivi sisi tunajua vile....
so do I.
Kama vipi ni-inbox akaunti yako ya FB, twita, Google, Linkedin, Skype, Mig33 miksa namba ya simu kabla TCRA hawajaloga.
Loh!
ntakupa account yangu ya M-PESA
Mi hua nasafiri sana kwahiyo ngoja nikupe namba zangu zote. . .tupeaneni kontakt kabisa, naona sheitwani anaitafua damu ya mtandao huu.
I will miss you in advance
itakuwa poa.
Ukizingatia nina hela kama Mwarabu, afu uniambie na gari unayotumia, gharama isizidi Mil. 25.
Sawa beibii...
Mi hua nasafiri sana kwahiyo ngoja nikupe namba zangu zote. . .
Nikiwa bongo natumia 076 3820 '112'
Nikienda kupumzika marekani 076 3820 '911'
Nikiwa ulaya Uirengeza 076 3820 '999'
Isiraeli ndani ya Mashariki ya kati 076 3820 '101'
Na Asia kwa waJapani 076 3820 '119'
Usibeep tafadhali!!
namba yangu ni 0754 000 ***
hizi zilizobaki magazijuto
Mi hua nasafiri sana kwahiyo ngoja nikupe namba zangu zote. . .
Nikiwa bongo natumia 076 3820 '112'
Nikienda kupumzika marekani 076 3820 '911'
Nikiwa ulaya Uirengeza 076 3820 '999'
Isiraeli ndani ya Mashariki ya kati 076 3820 '101'
Na Asia kwa waJapani 076 3820 '119'
Usibeep tafadhali!!
lizzy wangu wewe mbona code za nchi acendani na namba ulzotaja icpokuwa bongo
hiyo ya kati, mbona kapokea Mwema?
Unahatari wee mtoto
lizzy wangu wewe mbona code za nchi acendani na namba ulzotaja icpokuwa bongo