kitoromoni
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 424
- 210
Full kupigana miti wanafunzi/walimu.
kweli tembea uone,kuishi kwingi ni kuona mengi
Aisee kiswahili kinakua kila iitwapo leo. Kupiga miti ndio nini?
:flypig: naelekea huko
Ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa, hapo ukapata maana ipi mkuu?
Naenda nami NIKAPIGE MITI
Toa Avatar (picha) ya Mwalimu Nyerere..
Oooh huko hupigi miti, unapigwa miti. Utarudi inaumwa Tezidume.Naenda nami NIKAPIGE MITI
Aisee kiswahili kinakua kila iitwapo leo. Kupiga miti ndio nini?
kweli tembea uone,kuishi kwingi ni kuona mengi
Hee basi siendi tena!!