Weka miguu yote nje!Hapa inabidi nikae "kimchakato" mguu ndani mguu nje,hakutabiriki kabisa
Unajifanya popcorn eeeh?Mie wala simtaki!
Nitapata wangu peke angu
HahahaWeka miguu yote nje!
Twende zetu jukwaa la utambulisho tukajinyakulie wageni
Hahaha hahaha hahahaUnajifanya popcorn eeeh?
Mie najua unamzimia auntie! Mapenzi hayajaribiwi ex mdaka chozi!Hahaha
Wazo lako nimelipenda,sasa kwavile wote tunatafuta unaoneja tukajaribu
Maana auntie yako hatabiiriki kabisa
Yaani wewe wa kumtaka auntie yangu kweli!!Mimi sijachukuliwa na mtu wala nini
Huna adabu, unakula kuku na mayai yake[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahaha
Wazo lako nimelipenda,sasa kwavile wote tunatafuta unaoneja tukajaribu
Maana auntie yako hatabiiriki kabisa
wapi nimemtakaYaani wewe wa kumtaka auntie yangu kweli!!
Matusi makubwa sana haya.
Hajanikula mie!Huna adabu, unakula kuku na mayai yake[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kweli bora safari iishie hapa tu.
Nenda tu ukawe mchepuko, si ndio nyota yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ngoja nikajaribu bahatiMie najua unamzimia auntie! Mapenzi hayajaribiwi ex mdaka chozi!
Twende jukwaa lile tukapende upya!
Naye atakuheshimuMuheshimu kaka yako.
Dogo hujambo?Muheshimu kaka yako.