- Thread starter
- #21
Kiaje mkuu?Najua uliipendea camera, ckunyengine uulize kabra, hujanunua cm mkuu
Kiaje mkuu?Najua uliipendea camera, ckunyengine uulize kabra, hujanunua cm mkuu
Nitajaribu kutoa protector mzee ili nione,VIP kuhusu button kutowaka?Toa Kama Umeweka protector maana Ndio inafanya iwe ngumu especially glass protector
Thanks bro,nitarifanyia kaziTatizo la kuchelewa ku respond hutokana na kujaza application nyingi kwenye simu kuzidi uwezo
Tatizo la kuzima lenyewe na kuwaka pia hutokana na kutumia simu kwa kasi zaidi ya uwezo hadi simu kufanya automatic reboot cpu inapozidiwa
Kuchelewa kurespond inatokana na kuzidiwa speed au kubadilisha kioo na kipya kuto kaza vizuri hivyo kutotouch vizuri na kupelekea kukosea spelling wakati unaandika sms