Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

Siku yangu aina ya Tecno W5 ina wazimu?

WIDAJAMU

Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
32
Reaction score
20
Kwanza wana jf niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku.
Mimi Nina simu ya Tecno w5 lakini sijui ni ya kwangu tu au na wengine.Simu yangu inamatatizo yafuatayo;
(1)Haiwaki button zake tatu za chini na
(2)Ina hard touch,yaani ukibonyeza ijaweza isi respond ,watalaam naomba msaada jamani.

pole sana..hata mimi namiliki Tecno W3 inajiwasha na kujizima yenyewe yaan nataman hata kuivunja sema tu sina nyingine
 
pole sana..hata mimi namiliki Tecno W3 inajiwasha na kujizima yenyewe yaan nataman hata kuivunja sema tu sina nyingine
Nilikuwa nasubiri useme nami ni kama yako,na ttzo hivo hivo nikajua ni pekee yangu,
Techno tayari nimewachoka,labda nikitafta simu tena lazima nihamie Samsung au iPhone, techno wanachosha akili
 
Kwanza wana jf niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku.
Mimi Nina simu ya Tecno w5 lakini sijui ni ya kwangu tu au na wengine.Simu yangu inamatatizo yafuatayo;
(1)Haiwaki button zake tatu za chini na
(2)Ina hard touch,yaani ukibonyeza ijaweza isi respond ,watalaam naomba msaada jamani.

WIDAJAMU
Zamani button zilikua zinawaka?

Mwanzo touch ilikuaje? Kuna ishu ilitokea? Mfano kuanguka au kitu kam hicho
 
pole sana mkuu [HASHTAG]#paradisehome[/HASHTAG] ndo ivo tuya vumilie makopo yetu
 
Rekebisha heading mkuu! Ipe heshima lugha yetu
 
Najua uliipendea camera, ckunyengine uulize kabra, hujanunua cm mkuu
 
pole sana mi namiliki rav4 inajizima na kujiwasha in the same way
 
Toa Kama Umeweka protector maana Ndio inafanya iwe ngumu especially glass protector
 
Kumbe kuna na siku za Tecno

Daa umeua wasilia na mwezi mwaka wakurekebishie iwe bomba
 
Kumbe kuna na siku za Tecno

Daa umeua wasilia na mwezi mwaka wakurekebishie iwe bomba
Angalia content mkuu na sio miyeyusho ya kutoa povu hilo.
Kwa taarifa yako sipangiwi cha kuandika na si-edit heading,wenye akili wataendelea kutoa michango yai
 
Back
Top Bottom