Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,896
- 7,522
Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . ..
Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani.
Wana wa Mungu tuendelee kusali na kuomba ....Tuendelee kukusanya ushahidi tu, ..well documented..ushahidi wa picha, documents, audio and video..siku yaja vitahitajika
Ibrahim Traore wa Tanzania tazama asema "naja upesi" ...