Siku ya Wazee Duniani, Kitaifa Geita 6 Okt 2023

Dkt. Gwajima D

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
543
3,575
TAARIFA KWA UMMA (Rejea Kiambatisho).

Wasaalam Wana Jukwaa.

Nimeambatisha taarifa kwa umma kuhusu siku ya Wazee kitaifa mkoani Geita, tarehe 6 Oktoba, 2023. Viwanja isomeke KALANGALALA na siyo Kahangalala, my apologies, naomba radhi🙏🏽🤝

Fuatana nasi tafadhali kwenye tamko hili na kwenye siku ya tukio. Kaulimbiu ni "Uthabiti wa Wazee kwenye Dunia yenye Mabadiliko"

Tukumbuke, uzee na kuzeeka hakukwepeki, uzee ni tunu adimu, tuwaheshimu, tuwapende, tuwalinde na tuwatunze.

Karibuni kwa maoni, michango. JamiiYetuFahariYetu#🇹🇿
IMG_20231003_143227_828.jpg
IMG_20231003_143227_910.jpg

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • 7f0b1777-78ae-42d7-a6ca-81b5b24fc24f-watermark.mp4
    17.8 MB
Tunashukuru sana Muheshimiwa kwa kututambua sisi Wazee, maana jamii haituthamini kabisa 🥲

#Uthabiti wa Wazee kwenye Dunia yenye Mabadiliko#
 
TAARIFA KWA UMMA (Rejea Kiambatisho).

Wasaalam Wana Jukwaa.

Nimeambatisha taarifa kwa umma kuhusu siku ya Wazee kitaifa mkoani Geita, tarehe 6 Oktoba, 2023.

Fuatana nasi tafadhali kwenye tamko hili na kwenye siku ya tukio. Kaulimbiu ni "Uthabiti wa Wazee kwenye Dunia yenye Mabadiliko"

Tukumbuke, uzee na kuzeeka hakukwepeki, uzee ni tunu adimu, tuwaheshimu, tuwapende, tuwalinde na tuwatunze.

Karibuni kwa maoni, michango. JamiiYetuFahariYetu#View attachment 2770380View attachment 2770381

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
https://r.tapatalk.com/byo?rid=77694
Mheshimiwa unafanya kazi nzuri! Hongera unafaa kuigwa
 
Hivi mnatuonaje?
Geita hakuna uwanja wa Kahangalala bali tunao wa Kalangalala
 
TAARIFA KWA UMMA (Rejea Kiambatisho).

Wasaalam Wana Jukwaa.

Nimeambatisha taarifa kwa umma kuhusu siku ya Wazee kitaifa mkoani Geita, tarehe 6 Oktoba, 2023.

Fuatana nasi tafadhali kwenye tamko hili na kwenye siku ya tukio. Kaulimbiu ni "Uthabiti wa Wazee kwenye Dunia yenye Mabadiliko"

Tukumbuke, uzee na kuzeeka hakukwepeki, uzee ni tunu adimu, tuwaheshimu, tuwapende, tuwalinde na tuwatunze.

Karibuni kwa maoni, michango. JamiiYetuFahariYetu#View attachment 2770380View attachment 2770381

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Tukumbuke, uzee na kuzeeka hakukwepeki, uzee ni tunu adimu, tuwaheshimu, tuwapende, tuwalinde na tuwatunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi nzuri mheshimiwa, nitakuwepo hapo kama sehemu ya kuwafariji wazee wetu
 
Back
Top Bottom