Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
.
Haaa!!!!!! Na wewe hupendeki???
Duh! Ila inategemea ujue. Sometimes watu wanasema vitu kutokana na context.Niliwahi kuambiwa hivyo. Nimeamua ku agree wit him[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahahhahahhahaahhaha! umeenda nae vizuuuuri sasa unataka uanze kumrarua kama yule handsome wenu alietuma avatar yake
Nimemtumia post, sasa nkashangaa ya miwani yanakujaje hapa????Kwani umemwambia kwa msg au live?
Miwani inahusikaje lakini?[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nimeuliza tu kujua kinachojiri ndani. Kwani ugomvi?Hawajawahi kumuangusha mtu kama una pesa za mawazo usijalibu hata kupeleka pua yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha manengelo shida iko wapi something to note hautaenda kwa miguu hayo mengine niachie mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hahahahaha hawezi kuona kasahau miwani yake kwenye li "usafiri " lake[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ni new ride manengelo namba D kabisahahahaha gari yako namba gan mkuu[emoji41]
Ila si ameshasema sipendeki? Na sipo romantic?Duh! Ila inategemea ujue. Sometimes watu wanasema vitu kutokana na context.
Hahahha kwa hiyo hajakukubalia?Nimemtumia post, sasa nkashangaa ya miwani yanakujaje hapa????
Kuna inaongea pesa usije kuharibu hafla za watuNimeuliza tu kujua kinachojiri ndani. Kwani ugomvi?
Pua yangu nayo??
Basi sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha hali ilikuwajee?😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mfyuuuu! Hebu niache mie, wewe na babe wako mnajuana wenyewe. Kwanza vipi kila kitu poa??? hali haikuwa hali ujue
Hatari wallahi😂😂😂kwamba handsom..khaaa maajabu hayataisha ...huyu badala atengeneze mkweche wake namba A anahangaika na valentine😂😂
Akikujibu nishtue plzhahahaha gari yako namba gan mkuu😎
Kama huna hela tulia usichanganye mafile hapa tunazungumzia night part
Mmmmhhh! Kasema hivyo?? kweli??Ila si ameshasema sipendeki? Na sipo romantic?
Nimbishie?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.