Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,552
- 30,788
Saa hizi ungekuwa tayari unakula mlo wa bure Segerea!
Cha ajabu sasa hivi Mbowe anaonekana mtu!View attachment 2541465
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa , lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa.
Kuna mengine mengi, lakini naada ya 2015 tumeyahhudia mengi yaliyotukatisha tamaa wananchi.
- Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote imeisha
- Watu wasiojulikana wamerudi maskani kwao
- Utekaji wa aina ya Roma Mkatoliki na Mo umepotea
- TRA siku hizi wana adabu na heshima wakodai kodi
- Kubambikizwa kesi kumepungua sana, kama si kuisha
- Zile amri za wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya kuweka watu ndani zimekoma
- ndugu zetu wa CHADEMA hadi mwenyekiti wake kulala lupango kila baada ya mwezi zimeisha
- Lema na Lissu wamerudi na hawajabugudhiwa
- Mbowe kaenda mara kadhaa kunywa chai Ikulu
- Shilingi ya Tanzania haijashuka thamani
- Watalii wamefurika, na kuja na dola zao
- Ujambazi wa serikali kupora fedha toka kwa wananchi(wafanyabiashara) umeisha-tunakumbuka kuporwa Beureu De Change nchini
- Viongozi fulani fulani wanaotumwa kutesa, kuteka, kupora kama Makonda na Sabaya sasa hawapo tena.
Mimi binafsi nampa tano mwanamke na Rais, Samia Suluhu Hassan.
Naomba atakaye pinga atoe na sababu zake, lakini mimi a Samia.
Ubambikwe kesi gani unyoipenda?
Kweli, Samia hoyee, Mbowe hoyee ila Magufuli atakumbukwa kwa kuharibu ustaarabu wa mtanzania uliojengwa kwa miaka mingi.View attachment 2541465
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa , lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa.
Kuna mengine mengi, lakini naada ya 2015 tumeyahhudia mengi yaliyotukatisha tamaa wananchi.
- Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote imeisha
- Watu wasiojulikana wamerudi maskani kwao
- Utekaji wa aina ya Roma Mkatoliki na Mo umepotea
- TRA siku hizi wana adabu na heshima wakodai kodi
- Kubambikizwa kesi kumepungua sana, kama si kuisha
- Zile amri za wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya kuweka watu ndani zimekoma
- ndugu zetu wa CHADEMA hadi mwenyekiti wake kulala lupango kila baada ya mwezi zimeisha
- Lema na Lissu wamerudi na hawajabugudhiwa
- Mbowe kaenda mara kadhaa kunywa chai Ikulu
- Shilingi ya Tanzania haijashuka thamani
- Watalii wamefurika, na kuja na dola zao
- Ujambazi wa serikali kupora fedha toka kwa wananchi(wafanyabiashara) umeisha-tunakumbuka kuporwa Beureu De Change nchini
- Viongozi fulani fulani wanaotumwa kutesa, kuteka, kupora kama Makonda na Sabaya sasa hawapo tena.
Mimi binafsi nampa tano mwanamke na Rais, Samia Suluhu Hassan.
Naomba atakaye pinga atoe na sababu zake, lakini mimi a Samia.
-Chawa ni chawa tu, Sukuma gang ni chawa wa Mwendakuzimu.
Mama amerudisha ustaarbu fulani katika jamii, ustaarabu uliopotea wakati wa Awamu ya Tano.Kweli, Samia hoyee, Mbowe hoyee ila Magufuli atakumbukwa kwa kuharibu ustaarabu wa mtanzania uliojengwa kwa miaka mingi.
Kwa roho mbaya yake na ukatili ule uliokithiri no wonder tunaambiwa kuwa ni Muhutu muhamiaji, hatujawahi kuwa na kiongozi brutal na mshenzi kiasi kile.Kweli, Samia hoyee, Mbowe hoyee ila Magufuli atakumbukwa kwa kuharibu ustaarabu wa mtanzania uliojengwa kwa miaka mingi.
Mbaya zaidi Magfuli hakuwa na sababu ya kufanya vile alivyofanya.Kwa roho mbaya yake na ukatili ule uliokithiri no wonder tunaambiwa kuwa ni Muhutu muhamiaji, hatujawahi kuwa na kiongozi brutal na mshenzi kiasi kile.
Hakuwa Mtanzania, vitu vingine ni desturi na asili ya ulipozaliwa.Mbaya zaidi Magfuli hakuwa na sababu ya kufanya vile alivyofanya.
Watanzania wana kaustaarabu fulani ambao huwezi kuupata Kenya au Uganda.
Atakayekupinga ni mchawi fullstop.View attachment 2541465
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa , lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa:
Kuna mengine mengi, lakini naada ya 2015 tumeyahhudia mengi yaliyotukatisha tamaa wananchi.
- Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote imeisha
- Watu wasiojulikana wamerudi maskani kwao
- Utekaji wa aina ya Roma Mkatoliki na Mo umepotea
- TRA siku hizi wana adabu na heshima wapodai kodi
- Kubambikizwa kesi kumepungua sana, kama si kuisha
- Zile amri za wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya kuweka watu ndani zimekoma
- ndugu zetu wa CHADEMA hadi mwenyekiti wake kulala lupango kila baada ya mwezi zimeisha
- Lema na Lissu wamerudi na hawajabugudhiwa
- Mbowe kaenda mara kadhaa kunywa chai Ikulu
- Shilingi ya Tanzania haijashuka thamani
- Watalii wamefurika, na kuja na dola zao
- Ujambazi wa serikali kupora fedha toka kwa wananchi(wafanyabiashara) umeisha-tunakumbuka kuporwa Beureu De Change nchini
- Viongozi fulani fulani wanaotumwa kutesa, kuteka, kupora kama Makonda na Sabaya sasa hawapo tena.
Mimi binafsi nampa tano mwanamke na Rais, Samia Suluhu Hassan.
Naomba atakaye pinga atoe na sababu zake, lakini mimi a Samia.
Kuna watu wako Kamati ya Roho Mbaya!Atakayekupinga ni mchawi fullstop.
Hakika.Hakuwa Mtanzania, vitu vingine ni desturi na asili ya ulipozaliwa.
Yule mwanaharamu amezaliwa Burundi kwenye nchi ambayo utu wa mtu si lolote.
Hakuwa Mtanzania kwa asili, ni muhamiaji no wonder alikuwa na hulka zisizo za KitanzaniaMbaya zaidi Magfuli hakuwa na sababu ya kufanya vile alivyofanya.