Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Katika tatizo kubwa ambalo linalo wakabili wanawake karibu 80% ni wanawake wenzao na hilo ndilo pengine halina ufumbuzi!
Yani huwa mnajua kupeana sana wasia na mawaidha ya kila aina lakini huwa ni wepesi kusahau na mnayaacha hapo hapo!
Katika jambo ambalo hunishangaza zaidi ni uwezo mlio nao wa kudhalilishana pengine hili ni janga lenu la taifa kama si dunia!
"Ukitaka kumroga mwanamke kirahisi mtafute mwanamke mwenzie"
Sikukuu njema
Mmmh huyo mmeo.. huko ndio tunaitana kubakana kwenye ndoa kha...., sio muelewa kwakweli.. ye akichoka sawaa.. we ukichoka si sawa.. huu ni unyanyasaji
Pole mwaya..
Kiasili mwanamke hawezi kuwa juu ya mwanaume....na hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke mpaka siku ambayo atakapoanza mwanaume atakopoanza kuziona siku zake....na kushika ujauzito......
mkuu hawa wanajaribu kupreach feminisim...ambayo ni janga kbwa sana kwa jamii
this is feminism ni mehaibu sana jamii. huku nchi zilioendele...naona bongo inangia na mnifurahia..itafika mahali wanaume wengi watakuwa ka wanawake...mtakosa watu wa kuwaoa..
that is how feminism works..yaani wanawake wanataka wanaume soft soft..wanaume wanaoact kama wanawake..wanaume ambao wanaamini na kutenda kwa kujua kwamba mwanamme na mwanmke hawawezi kuwa sawa..wanaonekana wabaguzi..lakini ukweli mwanaume naturaly anatakiwa kuwa kiongozi wa mwanamkeunamaanisha nini unavyosema wanaume watakuwa kama wanawake
that is how feminism works..yaani wanawake wanataka wanaume soft soft..wanaume wanaoact kama wanawake..wanaume ambao wanaamini na kutenda kwa kujua kwamba mwanamme na mwanmke hawawezi kuwa sawa..wanaonekana wabaguzi..lakini ukweli mwanaume naturaly anatakiwa kuwa kiongozi wa mwanamke
Kiasili mwanamke hawezi kuwa juu ya mwanaume....na hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke mpaka siku ambayo atakapoanza mwanaume atakopoanza kuziona siku zake....na kushika ujauzito......
that is how feminism works..yaani wanawake wanataka wanaume soft soft..wanaume wanaoact kama wanawake..wanaume ambao wanaamini na kutenda kwa kujua kwamba mwanamme na mwanmke hawawezi kuwa sawa..wanaonekana wabaguzi..lakini ukweli mwanaume naturaly anatakiwa kuwa kiongozi wa mwanamke
this is feminism ni mehaibu sana jamii. huku nchi zilioendele...naona bongo inangia na mnifurahia..itafika mahali wanaume wengi watakuwa ka wanawake...mtakosa watu wa kuwaoa..
Mwanamke hana sifa ya kuwa kiongozi sio tu taifa bali hata kwenye ngazi ya familia......mwanaume ni kiongozi na atabaki kuwa kiongozi wa mwanamke na viumbe vyote hapa duniani......Wanaume mko obsessed with struggle for power. Yani jiu linataka kuwa juu ya mkewe, juu wanae, juu wadogo zake, juu ya majirani juu ya kila kitu. Hayo sio maisha. Hamna kitu kizuri kama kuwapa nafasi watu wengine wachangie maisha yako, sio kuwa control freak na kutaka kila saa u run the show.
Teh Teh kuna mtu alisha niaga kuwa atakwenda kwenye semina ya wadada..nilimuuliza hivi hizo semina huwa mnafundishwa kutosameana? Nilimwambia unapoteza muda kwenda kumuomba Allah na kushiriki hizo semina kama umeshindwa kumsamehe mtu ulikuwa unamuita rafiki yako kipenzi....kwa mikwaruzano isiyo na msingi.Unaweza ukafikiri mtu ameacha kuongea na mtu aliye kuwa rafiki yake kipenzi zaidi ya miaka ishirini sasa ni mwaka hawaongei ...Haaaa tunakuwaga na semina za wanawake kibao kushauriana na mambo kibao yaani... lakini unakuta mambo kila siku ni yale yale
Totally wrong.
Hiyo unayoongelea wewe ni "hongo".
I hate to tale on these people lakini THEIR GREATEST WEAPON IS WEAPON IS THE MIND! They play with your mind. Anakuprofile tu, what is your weakness. Kama unataka Romeo n Julliet story atakuwa Romeo, unataka ndoa atajifanya anatafta mke, unapenda company atajifanya mtu wa company. WHAT EVER YOU WANT THEY DELIVER BEYOND YOUR IMIGINATION.
Sasa it takes only the msrtest kuvuka hivi vigingi. TO THEM IT IS LIKE A GAME! To the women it is their life, emotions,heart at stake.
Faizafoxy wee unatakaje dada yangu?
Shule mnaenda,tena mnafaulu kweli kweli zaidi ya wanaume,biashara mnafanya,makazini mnaenda na mnakua mabosi,mali mnazo,magari,nyumba,watoto,nk....
Mnataka nini zaidiii?Sijawaelewa aisee....
Tanzania hakuna mwanamke anaonewa kama mnavyotaka kutuaminisha....kama ni kwenye familia,pia kuna wanaume wanaonewa...
Ninachoona,mnataka jinsia ya kiume labda..kila kitu mnapata,majungu mengine yanatoka wapi?ukiwaambia alinyimwa nini,hana jibu....infact mpo kwenye denial na jinsia zenu,ukiona mwanaume basi unaona kuna kitu unanyimwa,wakati si kweli kwa zama hizi