Siku ya Wanawake, Straight Talk

Na haijalishi how ruthless a woman can be hawezi akaplay emotional games. Labda wapo lakini sijaona mpaka sasa.

 
Lara umejitahidi kujibu lakini bado sanaaaaaaaaaaa! Ukombozi wenu,mfano ili nijue info zako wewe nikimuuliza best yako nazipata zote why?
_kwa nini ni rahisi mwanamke kukutongozea mwanamke mwenzie na sio man kimshawishi man mwenzie achukue dem fulani?
Jirekebisheni hapo kwanza,
 
umeona mkuu? mi mwenyewe nimeshangaa sana yaani

natamani hili lizungumzwe zaidi, wengine zaidi ya salamu na ushauri hakuna lingine.....kumbe kuna watu wengine pengine wakiona pop up ya message wanatetemeka kwa kuhofia kilichoandikwa.....this is serious!
 

Ukiwa na Dada ni 100% marafiki wa Dada yako unawala
 


Na kitu kingine kilipelekea kuwa tunachukuliwa hivyo ni nature ya majukumu ambayo wanaume walikuwa wanafanya zamani,kazi ngumu na zinazohitaji nguvu,si tukaonekana dhaifu.....masculinity ilitokana na majukumu yao.....siku hizi wakishaenda mazoezi wakawa na vifua wanataka kuburuta watu...mwe,kazi tunafanya zilezile,masaa yale yale,elimu ile ile,mimba tubebe, bado wao wawe treated kama wanaume wa zamani na bado mtu wanaendelea na madharau yao, na ,kila kitu unachofanya baadhi yao wanaona kama vile ni kwakuwa umesoma,una hela,una akili na exposure na vitu kama hivyo.

Ukweli ni kuwa lazima wabadili attitude zao,elimu ilipaswa kutubadili,kutuimarisha na kutufanya vizuri zaidi kwa manufaa yetu,ya familia na taifa....sio kila kitu kionekane kama ni ushindani na wanaume.
 
 
Nadhani umesoma UDSM na wanawake ni wengi kuliko wanaume.Ulishawahi kuwaconvice wasomi wa kike wamchague president wa DARUSO mwanamke.Kama wale wasomi wakiweza hata wengine wataweza
 

hiyo naikubali kwa 50% tu, the other 50% ni kwa sababu wengine wanaona hiyo ndo shortcut to reach where they dream or get want they want
 

That's normal, ni mwanamke tu kujiongeza mwenyewe, mbona hata mtaani huku ni hivyo hivyo wanacheza na mind zao
 
na wewe uliyoongelea ni hongo vile vile, unless ufafanue kama nilikuelewa vibaya

Hapana sikuongelea hongo, kanisome vizuri halafu unieleze ni kipi ulidhani wewe kuwa ni hongo.
 
natamani hili lizungumzwe zaidi, wengine zaidi ya salamu na ushauri hakuna lingine.....kumbe kuna watu wengine pengine wakiona pop up ya message wanatetemeka kwa kuhofia kilichoandikwa.....this is serious!

hili sidhani kama ufumbuzi utapatikana, tatizo ni la kibinafsi zaidi na kutokujitambua, wengi humu wako desperate na ndoa na kuweka mbele pesa, so men take advantage of that
 
ila hii ya TRIPLE ENTENTE ni kujitakia kwakweli
mi nawangaliaga PM zao uko nacheka mwenyewe tu
yaani unijui sikujui eti nikubali kisa umenipa maneno mazuri uko pm
aaha uyo siyo mimi labda
kama kuna kubakana mtandaoni mtanipata
ila kama ni iyari yangu mtasubiri sna na mtabet sana
 
Hahhaaaa.... Kuna watu wana roho ndogo aisee, wakikutana na maswahibu wanachange ID zao....

Sasa mtu atabadilisha ID ngapi...kama ni changamoto za maisha zipo kila mahali...mtu utajikana kweli kwasababu kuna maswahibu yamekukuta!Running from your problems doesnt solve them!!
 
Happy women's day!
Nawapenda wanawake wote jf!
Enyi wanawake wenzangu kuweni makini ni makanjanja ya jf....amina!
 
Katika tatizo kubwa ambalo linalo wakabili wanawake karibu 80% ni wanawake wenzao na hilo ndilo pengine halina ufumbuzi!

Yani huwa mnajua kupeana sana wasia na mawaidha ya kila aina lakini huwa ni wepesi kusahau na mnayaacha hapo hapo!

Katika jambo ambalo hunishangaza zaidi ni uwezo mlio nao wa kudhalilishana pengine hili ni janga lenu la taifa kama si dunia!

"Ukitaka kumroga mwanamke kirahisi mtafute mwanamke mwenzie"

Sikukuu njema
 

Nisamehe dada angu, nilikuwa mbali sana.

Kiukweli wanaume wamegundua mbinu hiyo ndio maana wanatuweka katika wakati mgumu
 

Mimi naona usishangae, wanawake wengi ni wavivu asikwambie mtu. Kuna wanawake kadhaa nafanya nao kazi yaani ni shidaaaaa asikwambie mtu, mi nadhani waanze kujituma na kuanzisha makapuni kama wanaume usawa unaweza kukaribia kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…