Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Niliwahi sema UKAWA ni great thinkers wa siasa za nchi hii na kila wanalolifanya hawalifanyi mradi tu bali wanakuwa teyari wameona fursa ya jambo hilo kisiasa.
Kama mtakumbuka,gazeti la Mtanzania la siku chache zilizopita, lilimnukuu mwenyekiti mwenza wa UKAWA akisema hivi sasa wanakusanya ushahidi wa kupeleka watu The Hague.Hivyo basi,busara isipotumika siku hiyo ya tarehe 23 mwezi huu,UKAWA watakuwa wamepata fursa nyingine ya kukusanya ushahidi na pia kudhihirisha kuwa kuna doublestandard katika ku-deal na vyama vya siasa(hapa watapata political advantage).
Kwa kifupi,tarehe 23/07/2016,UKAWA watau ndege wawili kwa jiwe moja iwapo busara itakosekana.
Hata hivyo, naamini fursa ya kumaliza mvutano huu bado ipo na ninawashauri viongozi wa dini na watu wengine wenye kukubalika na pande zote mbili kutumia busara zao kuepusha kinachoweza kutokea.