Timm Wu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 505
- 1,360
Halaf na huyo balozi kilaza alijibiwa kitu gani? Msiwe mnakurupuka, issue ya jaribio la mauaji ya Lissu mko uchi wa mnyama, kundu la nyani hamna namna ya kulificha!Lisu ameshajibiwa na Balozi Dr Possi fullstop!