Siku ya pili katika mahusiano ameanza kupiga mizinga

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
397
Sabal kheir wadau,,,
niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hvi ambapo hatuna hata wiki katika mahusiano,,,chakushangaza jana kanitumia sms kuwa anaomba pesa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa ajili ya matumizi,,,,najiuliza hapa kabla ya kumtokea alikuwa anapata wapi pesa ya matumizi!? kingne naona ni mapema sana kuanza kunililia shida!!! Pana mapenzi ya dhati hapa!?
 
Really? Hivi watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi?

Maana wengine hatujawahi kabisa kukutana nao.

Nadhani huenda ikawa vibes unazotoa ndo zinamfanya akupige mzinga haraka haraka namna hiyo.

Ila kwa kweli huwa sielewi kabisa watu wa hivyo huwa mnawatoa wapi! Kwenye mavilabu ya pombe chafu?
 
kwani akikiaa mwaka ndo aombe, mahitaji anytym babu
 

hapana mkuu,,,sio kilabuni,,,ila nimeshndwa hata kumjibu
 
Fukuzia mbali mkuu ukijiloga ukampa ndani ya wiki moja utapigwa mzinga wa laki saba

nimeamua kumkaushia,,,,me mwenyewe hata papuchi sijapewa nikipewa sio nitaombwa million
 
Umekuwa source of income kwake. Hakuna ajira ndo maana wadada wametugeuza ajira.
 
Jibu ni moja tu, umekubaliwa kama kiongezo cha kitega uchumi kimojawapo. She is not in love with you.
 
Shida haina wakati wala majira! We hujaomba GAME ndani ya wiki hihi?
 
Huna haja ya kutuuliza hapo unaibiwa kijana
 

Habari ndio hiyo - amua kusuka au kunyoa. Huyo kesha kuona ATM. Sasa kama utampa password ili awe anatoa kila anapojisikia kazi kwako.

Ushauri - mwambie hiyo pesa huna ili uone msimamo wake ujue mbivu na mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…