Siku ya nne sijampigia mpenzi wangu

Siku ya nne sijampigia mpenzi wangu

Nakubaliana nawe kabisa sweetlady, wengine wakishajua wanapendwa sana basi huanza kuleta za kuleta na ujeuri juu. Pamoja na kuwa amekabiliwa na mitihani lakini wanaweza kuzungumza dakika 5 tu hata 10 ili kuweka hali katika penzi lao shwari vinginevyo issue ndogo sana inaweza kuzaa tatizo kubwa sana na kutia doa kwenye penzi lao au hata kuliharibu kabisa.



Endelea kuuchuna ndio heshima itakuwepo mkuu.... Huyo msichana ameshagundua kuwa unampenda sana ndio maana anakufanyia kiburi... Hata kama umemkumbuka kaa kimya mpaka aanze kukutafuta yeye! Ukimpigia tu ujue atakufanya msukuke wake na atakuendesha kama gari bovu!
 
Last edited by a moderator:
Bila kukupaka mafuta,Kama dem wako yuko chuo na ww uko tofaut na mazngra hayo UNALO Bro.
Mi niko kanda ya kat,dem wangu mwaka jana alienda chuo-mwanza.
Alivofka 2likuwa 2nawacliana mara kwa mara,hata mara 3 kwa cku,wakat mwingne 2likuwa 2nacha mpaka masaa 3 mfulululzo.
Kadr cku zlvokuwa znasonga mawacliano yalkuwa yanapungua.
hv 2navoongea kwa wk 2naweza kuongea mara 1,tena dk 1 tu.Utackia 'poa badae..'
Mi naamin 'fmbo ya mbal haiwezi kumuua nyani'
Lazma ukubal,ukiamn hvo utaish miaka ming,na kama unataka uwah kufa na presha mfuatilie,utapata STROKE.
We muache,akija likzo mgonge na goz,na akimalza chuo,kama una mpango naye mpime muoane.
Kwa sasa unagdanganya.
SERIOUSLY.
Kama unahtag ushauri ni-pm.
Nna x-pirienc kubwa mazee!
 
Alikuwa darasani na aliweka simu silent coz anajiandaa na mitihani ya kumaliza semester.Asiweke simu silent na kwanini amevunja makubaliano?
Dada alikuwa sahihi. Yaani darasani uache simu on, ni upuuzi. Hiyo sheria yenu ya kutoweka simu silent ifuteni, maana kuna mazingira ambayo yanalazimu mtu kuzima simu au kuweka silent
Kuna siku atapanda ndege, utataka simu yake isizimwe. What a foolish!
 
Labda ameona asiwasiliane na wewe katika kipindi hichi anachojiandaa na mitihani utamchanganya na wivu wako.
 
Wakuu natumaini wote wazima humu ndani,nina mpenzi wangu anasoma chuo kimoja huko mkoani mimi nipo Dar.Usiku wa tarehe 1 nilimpigia muda wa saa 4 usiku na simu yake muda wote iliita bila kupokelewa,nilimtafuta mara nyingi na baadae nikaamua kulala,ilipofika saa 6 usiku alinitafuta na nilipomwuliza kwanini hakupokea simu alidai alikuwa darasani na aliweka simu silent coz anajiandaa na mitihani ya kumaliza semester.Nilimkumbusha kuwa tulikubaliana asiweke simu silent na kwanini amevunja makubaliano?.Aliamua kunikatia simu na kuzima kitendo kilichoniudhi sana.Sikujali sana maana sikutaka kumkera kipindi hiki cha mitihani asubuhi nilimpigia hakupokea tena,mchana nilimpigia hakupokea na nikasema akikuta missed calls zangu atanitafuta hakufanya hivyo na mimi niliamua kukaa kimya mpaka sasa.Kiukweli nampenda sana huyu msichana na leo nimemkumbuka sana ila sitaki kumtafuta maana nitampa kichwa kwa kuruhusu aendelee kufanya makosa zaidi,nishaurini nifanyeje pia samahani kwa kuwachosha kwa maneno mengi na naombeni msitumie matusi kuchangia maana ni vyema tukaheshimiana.

kwa chonjo mkuu, atakutesa huyo mpaka utajuta. Nilisha wahi kuwa na mmoja kama huyo aliye nisababishia mpaka leo sina mapenzi ya kweli.
 
Mkuu fanya hivi pia mwambie afunguke muulize kama amepata mtu akuambie ili msipotezeane muda hili ndio litakalokusaidia zaidi unaweza ukaendelea kukaa kimya kumbe mwenzetu wazidi kuumia ni heri kujua kulikoni ili ufanye mipango mingine!mpigie ongea kwa ukakamavu ukimuuliza vitu hivyo unaweza kujifanya umeuchuna kumbe wazidi kuteseka kupenda ni mchezo hatari sana!

wew Kukamido unafikiri atakuambia ukweli?wasichana wa vyuo achana nao mimi namshauri apige kimya tu huku akitafuta cha kupooza maumivu! kama kweli huyo msichana anampenda jamaa basi atamtafuta ana ataapologise
 
Wakuu natumaini wote wazima humu ndani,nina mpenzi wangu anasoma chuo kimoja huko mkoani mimi nipo Dar.

Usiku wa tarehe 1 nilimpigia muda wa saa 4 usiku na simu yake muda wote iliita bila kupokelewa,nilimtafuta mara nyingi na baadae nikaamua kulala,ilipofika saa 6 usiku alinitafuta na nilipomwuliza kwanini hakupokea simu alidai alikuwa darasani na aliweka simu silent coz anajiandaa na mitihani ya kumaliza semester.

Nilimkumbusha kuwa tulikubaliana asiweke simu silent na kwanini amevunja makubaliano?.Aliamua kunikatia simu na kuzima kitendo kilichoniudhi sana.Sikujali sana maana sikutaka kumkera kipindi hiki cha mitihani asubuhi nilimpigia hakupokea tena,mchana nilimpigia hakupokea na nikasema akikuta missed calls zangu atanitafuta hakufanya hivyo na mimi niliamua kukaa kimya mpaka sasa.

Kiukweli nampenda sana huyu msichana na leo nimemkumbuka sana ila sitaki kumtafuta maana nitampa kichwa kwa kuruhusu aendelee kufanya makosa zaidi,nishaurini nifanyeje pia samahani kwa kuwachosha kwa maneno mengi na naombeni msitumie matusi kuchangia maana ni vyema tukaheshimiana.

we endelea kumega tu,usiumize kichwa juu yake,apokee asipokee poa,wakati huo endelea kumtafuta wa kumuoa,huyo gegeda tu,wataoa hao wanaomfanya asipokee simu yako,maisha ya sasa yanachangamoto nyingi kamwe usiruhusu mtu aumize akili yako sababu ya K,mbona zipo kibao tu,nyembamba,pana,zenye maji,kavu,nyeusi,nyeupe n.k.
 
kuwa na demu anae soma chuo ni kupoteza mda, labda usubiri akimaliza ndio mapenz yata endelea,
watoto wachuo wana mapenzi ya kitoto pia wanapenda sana ngono na mapenzi ya tamthilia (drama)...na kama upo mko tofauti na anao soma ndio kabsaa umeliwa.
wakipata mimba hukimbilia kuzitoa matokeo yake ni kifo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom