Wapi huko?Yameanza kutoka njoo uoge huku Kama bado hayafika
Wapi huko yameanza??????yameanza kutoka usiku huu ninja.
Hongereni sana.Ila chimbeni visima kama wenzeni wa kitunda kivule mbagala kigamboni,Chanika na gongo la mboto maana hao sijahi sikia wakilia majiNdugu zangu wanaJF nawasalimia.
Ninasikitika kusema kuwa leo Jumapili, Juni 09, 2019 ni siku ya nne maji hayatoki maeneo yote ya Kibamba.
Na cha kusikitisha zaidi ni kuwa mamlaka husika zipo kimya na hakuna taarifa zozote kuhusiana na tatizo hili.
Naomba tueleweshwe nini hatma ya tatizo hili toka kwa mamlaka husika..
Yaani awe anamiliki mkokoteni halafu ana aibu? Ina maana yeye huwa anautumia kufanyaje? Kupikia?Wengine wazembe, na wanaona aibu so anakupa t
kimara sukaWapi huko yameanza??????
Nashukuru kuwa maji yameanza kutoka saa sita usiku..yameanza kutoka usiku huu ninja.
Nashukuru kaka kwa ushauri mzuri. Lakini siku zote huwa kuna permanent solution na immediate solution. Sisi tunaulizia immediate solution. Ni sawa na kukuta mtu amegongwa na gari kisha unaanza kuulizia chanzo cha ajali ili ajali hiyo isitokee tena wakati majeruhi bado kalala chini anavuja damu.. Ila ushauri wako ni nzuri ntaufanyia kazi..Hongereni sana.Ila chimbeni visima kama wenzeni wa kitunda kivule mbagala kigamboni,Chanika na gongo la mboto maana hao sijahi sikia wakilia maji