Siku ya mwisho kila GOTI litapigwa...

Siku ya mwisho kila GOTI litapigwa...

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Naomba niwe wazi kua nimarachache sana kuniona nimeweka post katika jukwaa lolote ila nimpenzi mkubwa sana wa JF, napita majukwaa tofauti kila nipatapo muda ili niweze kuongezea kitu kichwani coz naamini sana katika kujifunza kitu kipya kila siku...

Kila nikiingia MMU wanawake wanasema wanaume wa siku hizi hakuna kitu, wahuni tu, wanaume nao utaskia wanawake pasua kichwa, ukweli ni kwanza sio wanaume, sio wadada siku ya mwisho kila goti litapigwa, najua unajiuliza point yangu ni ipi,

Zamani ulikua ukienda kukojoa mtoto wa kiume ulikua unaweza kukojoa mkojo ukaenda juu zaidi ata ya kimo chako, ivyo basi nawaomba mkienda kukojoa jaribuni kukojoa uone kama mkojo utafika ata usawa wa tumbo kisa tu mashimo yamekua mapana sana kwasababu wazungu wanapita,

Kwa upande wa kina Dada zamani ukipita sehemu ukakuta kuna maji maji na kishimo unajua mwanadada alikua anakojoa hapa, sasa mwambie mwanamke akojoe chini kwenye udongo, utadhani maji yamemwagika kutoka kwenye pipa, unadhani nikwanini?
Mwisho wa siku kila goti litapigwa,

wote tunatete pande zetu ila wote mapretenda tu, period.

CC: The Boss Lala1 Madame B. Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
Mayombo, taarab hiyo kakufundisha nani?
Njoo umuone mke wangu mpya MadameX akikojoa, utadhani sakafu imepigwa na radi, kishimo kinachimbika hadi huoni mwasho wake
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wa kina Dada zamani ukipita sehemu ukakuta kuna maji maji na kishimo unajua mwanadada alikua anakojoa hapa, sasa mwambie mwanamke akojoe chini kwenye udongo, utadhani maji yamemwagika kutoka kwenye pipa
bado sijakuelewa vizuri, naweza pata ufafanuzi zaidi?
 
inategemea umeona wanawake wa wapi kama mko kwenye miamba patachimbikaje jamani
 
bado sijakuelewa vizuri, naweza pata ufafanuzi zaidi?

huwezi kuelewa wewe niwakishua, mchukue shemeji mwende beach then mkifika mwambie akojoe kwenye mchanga ukiona kachimba kishimo njoo unidai elfu 50
 
huwezi kuelewa wewe niwakishua, mchukue shemeji mwende beach then mkifika mwambie akojoe kwenye mchanga ukiona kachimba kishimo njoo unidai elfu 50

mkojo usipochimba chini tafsiri yake inakuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom