Siku ya kwanza ya Maulid Kitenge, Edo Kumwembe, Binti Suleiman, Yusuf Mkule na Ahmed Abdalah ndani ya Sports Arena

Kama kizungu kinapanda hamna shida,lakini kama ni kile cha ze,ze people,hapo itakuwa shida kidogo...
 
Alipewa gazeti la The Citizen la Kenya asome vichwa vya habari, kwanza hata hajui gazeti lenyewe ni la wapi iliyofuata nimichapio kwenda mbele. Lakini nachompendea yule dada ana confidence sijui anaitoa wapi! Ni kauzu hasa
CONFIDENCY YA MDADA WA BONGO NI MKIA TU KAMA ANAO VINGINE MBWEMBWE TU
 
Binafsi nimeona kipindi kimepoa sana.
Efm wao wameamua kuweka watu tofauti kusoma Magazeti kila siku
 
Back
Top Bottom