Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,306 Reaction score 32,796 Jul 31, 2022 #21 Nilimtongoza dingi nilipigwa kibao cha kijeda nilijikuta tu nipo hospital
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 7,349 Reaction score 21,796 Jul 31, 2022 #22 Uzi unanuka moshi wa bangi!
KateMiddleton JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 4,131 Reaction score 5,107 Jul 31, 2022 #23 caine said: Wewe haujavuta ulikua unachezea moshi. Haukuvuta moshi kuingia ndani hii ni kawaida sana kwa watu ambao wanavuta kwa mara ya kwanza. Haiwezekani uvute bangi usisikie chochote hakuna kitu kama hicho. Click to expand... Nilivuta mkuu Shida haikua OG nahisi Rolls 3 nzima nisivute kitu kweli jmn
caine said: Wewe haujavuta ulikua unachezea moshi. Haukuvuta moshi kuingia ndani hii ni kawaida sana kwa watu ambao wanavuta kwa mara ya kwanza. Haiwezekani uvute bangi usisikie chochote hakuna kitu kama hicho. Click to expand... Nilivuta mkuu Shida haikua OG nahisi Rolls 3 nzima nisivute kitu kweli jmn
Lucky93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 817 Reaction score 1,674 Jul 31, 2022 #24 Sitasahau siku nimekula weed's cookies