Siku ya kwanza kununua Condom

Siku ya kwanza kununua Condom

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,641
Reaction score
47,660
Habari zenu wana MMU.

Binafsi toka nianzage mahusiano sijawahi kuuza mechi.Ila kila nkikumbuka siku ya kwanza naenda kununua condom dukani,basi huwa nacheka sana.Nakumbuka ndio nilikuwa nimemaliza form 4,nipo tu kitaa.Sasa siku hiyo nikapewa ahadi ya kupewa mchezo na binti flani hivi.

Basi nkasema hapa inabidi ninunue kinga siku moja kabla walau niwe nazo karibu tu.Nkasubiria hadi kigiza giza kimeingia,then nkajisogeza hadi maeneo ya dukani (nakumbuka lile duka lilikuwa ni kama mtaa wa 10 hivi kutoka home ).

Nlipofika pale dukani,nakumbuka nlikuta watu kadhaa,ikabidi nitulie pembeni kwanza ili wahudumiwe. Walipoisha nkasogea na mimi. Nilipotaka tu kuelezea shida yangu akaja babu mmoja pale dukani,nkaona soo ikabidi nimpishe ahudumiwe yeye kwanza. (Babu alinishkuru akidhani ni ukarimu kumbe nlikuwa naona aibu mwenzie ).

Babu alipoondoka nkampatia muuza duka hela ila kabla sijamuelezea shida yangu,akaja mama flan hivi pale dukani. Nkamind sana kimoyo moyo nikazidi kuogopa kutaja neno condom mbele ya yule mama (hapo muuza duka kashachukua hela yangu ananiangalia tu).

Nilipoona yule mama haondoki nkamwambia muuza duka nirudishie hela yangu. Jamaa akacheka tu akaingia dukan kwake kama anatafuta kitu then akanipa kibox kimefungwa ndani ya gazeti. Nkabaki namwangalia tu (kimoyo moyo namshangaa huyu jamaa vipi?)

Sema nikarudi nyuma kumpisha kwanza yule mama.Nlipoangalia ndani nikakuta condom,nikasmile kisha nikaondoka.

Toka siku ile,lile ndio likawa duka langu la kununulia ile bidhaa hadi nlipozoea.

Hebu tuelezane wakuu,na nyie mlikuwa mnaona soo kama mimi?

Au nipo peke yangu kwa ili?
Kizzy Wizzy MO11 The Boss mshana jr
 
Analyse

Sasa wewe unatumia condom halafu unajiita kweli Mwanaume au Shujaa? Mwanaume asiyetumia condom katika tendo lolote la Ndoa hata uwezo wake wa KUFIKIRI ni MKUBWA, MZURI na ULIOTUKUKA kushinda wale wanaopenda kutumia ambao 99.999% huwa ni GOIGOI KICHWANI na hata Tendo lenyewe HAWAJUI KULIFANYA IPASAVYO. Kweli Wewe POYOYO yaani ujanja wote huo kumbe UNATUMIA condom? Umeniangusha na kunipandisha sana hasira kwani kwa kutumia kwako condom UNATUKOSESHA viongozi Wazuri wa baadae wa Taifa hili hasa baada ya Dr. Magufuli kumaliza ngwe yake hapo 2025.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umenifanya nimecheka saana aisee.

Any way ni mtazamo wako tu
 
Sasa wewe unatumia condom halafu unajiita kweli Mwanaume au Shujaa? Mwanaume asiyetumia condom katika tendo lolote la Ndoa hata uwezo wake wa KUFIKIRI ni MKUBWA, MZURI na ULIOTUKUKA kushinda wale wanaopenda kutumia ambao 99.999% huwa ni GOIGOI KICHWANI na hata Tendo lenyewe HAWAJUI KULIFANYA IPASAVYO. Kweli Wewe POYOYO yaani ujanja wote huo kumbe UNATUMIA condom? Umeniangusha na kunipandisha sana hasira kwani kwa kutumia kwako condom UNATUKOSESHA viongozi Wazuri wa baadae wa Taifa hili hasa baada ya Dr. Magufuli kumaliza ngwe yake hapo 2025.

Weee nawe!
 
Dah nmecheka mpaka majiran wakastuka kuulizia kunani huko?. Mm km wewe tu, japo mm nilinunua nying tu ilipofika usiku nikaenda toilet nikaanza kujifunza kuvaa, nakumbuka niliziharibu km 3 na kubakiwa nazo 3 zngne ndpo nikaenda kukutana na huyu mdada. Kununua condom duka ambalo lpo bize(wateja weng) kunahitaj moyo mgumu, nilipanda daladala kuelekea mtaa nisiojulikana ndpo nikanunua kwa ujasili. Shda tupu hayo mambo!
 
Sijawahi kununua condom hata siku moja.
 
Hongera mwaya kwa kujijali kiafya na kuepuka neno la "ninge" lisikusumbue maishani.
Mimi kiukweli na sarakasi zangu kibaao mpk leo ila sijawahi kbsaaaa nunua narushaga mpra upande wa pili kwa kumwambia uje nayo mimi ninamambo mengi.....
 
Nimependa hiyo experience yako mkuu

ina karibiana kufanana na ya kwangu.
Analyse
 
Last edited by a moderator:
Sure mkuu...kumbe sipo alone katika ili

Sana mkuu hapa umegusa wengi sana...yaani
hii nisawa na kina dada kununua pedi za siku zao..wengi huwa
wanakuwa na kigugumizi kama cha vidume kwenye
condom....
 
Duu...mkuu ulivyodanya kwa full confidence
ama kweli zimwi likujualo halikuli uka kwisha...
Sasa wewe unatumia condom halafu unajiita kweli Mwanaume au Shujaa? Mwanaume asiyetumia condom katika tendo lolote la Ndoa hata uwezo wake wa KUFIKIRI ni MKUBWA, MZURI na ULIOTUKUKA kushinda wale wanaopenda kutumia ambao 99.999% huwa ni GOIGOI KICHWANI na hata Tendo lenyewe HAWAJUI KULIFANYA IPASAVYO. Kweli Wewe POYOYO yaani ujanja wote huo kumbe UNATUMIA condom? Umeniangusha na kunipandisha sana hasira kwani kwa kutumia kwako condom UNATUKOSESHA viongozi Wazuri wa baadae wa Taifa hili hasa baada ya Dr. Magufuli kumaliza ngwe yake hapo 2025.
 
Sana mkuu hapa umegusa wengi sana...yaani
hii nisawa na kina dada kununua pedi za siku zao..wengi huwa
wanakuwa na kigugumizi kama cha vidume kwenye
condom....

Nakumbuka ile siku nilipoteza mda mwingi sana dukani
 
ahaaaa...tena sana, afu hapo ukawa na vibarua viwili
1. namna ya kuitunza vema tena kwa siri mpaka siku ya tukio bila home kujua.
2. Namna utavyoifungua na kuivaa....

Hakika vilikupa changamoto sana kama mimi ilivyokuwa.
 
Kuitunza haikuwa shida sana mkuu,kasheshe ilikuwa kuivaa maana nlikuwa nahofia ntageuza nje ndani. Bahati nzuri nilipatia
 
Nilikuwa Class 6
Nilienda nikamkuta Mmama yupo nikamwambia nimetumwa condom naenda fanyia experiment shule, akanipa nikaificha....
Hata hivyo sikuitumia ipasavyo,
Asubuhi na mapema nikaitupa nikiwa naenda school
 
Hahaha mkuu umenikumbusha mbaliii! Mimi nilifika kwenye duka nikawa nacheka tuu! Hapo nakuna nywelee kichwani! Si demu mwenyewe akaja hapohapo kwa duka! Weee sikununua na kuagiza pipi ya kifua na kutimua!! Zoezi nililianza bila ya Cdm siku hiyo!
 
Nilikuwa Class 6
Nilienda nikamkuta Mmama yupo nikamwambia nimetumwa condom naenda fanyia experiment shule, akanipa nikaificha....
Hata hivyo sikuitumia ipasavyo,
Asubuhi na mapema nikaitupa nikiwa naenda school

Class 6 miaka mingapi wewe ulishabalehe? ulimfanya nani?
 
Back
Top Bottom