Siku ya Kwanza Kumnunua Malaya

Siku ya Kwanza Kumnunua Malaya

Kama heading inavyosema sitasahau siku mwili uliponiwasha nikajipeleka maeneo flani hivi ambako bitch wanapatikana kwa 5000 baada ya kumaliza haja yangu nilitamani kulia maana nilijua HIV nimeshapata mpaka leo sitaki tena kurudia huo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kula wale kila siku yahitaji moyo
Kama huna roho ngumu utakula mara moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom