Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
Siku yako ya kwanza kuangalia Video (television) ilikuwa mwaka gani?
na ulijisikiaje kama unakumbuka ulikuwa mkanda gani?
Mi nakumbuka ilikuwa mwaka 2003,kijijini kwetu huko Morogoro TV ndio kwanza ilikuwa ya kwanza kuja alafu siku hiyo waliweka mkanda wa Tarzani.
Cha kushangaza tupo katikati ya movie majambazi waliingia na bunduki wakaiba Tv,Deki na jenereta pasi na kutufanya Chochote.
Nikiwakumbuka wale waliokuja kuiba Tv na silaha huwa nacheka sana