Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
33,748
67,715
S
 
Attachments

  • Pullup.png
    Pullup.png
    14 KB · Views: 1,526
  • Lat+Pull+Down.jpg
    Lat+Pull+Down.jpg
    7.1 KB · Views: 1,482
  • flat-barbell-bench-press-0-1-2-2-1.jpg
    flat-barbell-bench-press-0-1-2-2-1.jpg
    28.7 KB · Views: 1,555
  • Incline_Barbell_Bench_Press.png
    Incline_Barbell_Bench_Press.png
    23.9 KB · Views: 1,593
  • Decline_Barbell_Bench_Press_M_WorkoutLabs.png
    Decline_Barbell_Bench_Press_M_WorkoutLabs.png
    23.4 KB · Views: 1,511
  • Dips_M_WorkoutLabs.png
    Dips_M_WorkoutLabs.png
    19 KB · Views: 1,532
  • Close-Grip-Bench-Press.png
    Close-Grip-Bench-Press.png
    30.7 KB · Views: 1,509
  • 496fbabff85d16d17269a5a9b9e0a806.jpg
    496fbabff85d16d17269a5a9b9e0a806.jpg
    9.3 KB · Views: 1,408
Mazoezi ya kunyanyua uzito hutegemea na nini unataka katika mwili wako. Mfano kama unataka mwili mkubwa wa kimashindano au unataka mwili wa wastani, hapo itategemea na namna unavyofanya mazoezi (seti, reps hardcore au softcore) na jinsi unavyokula, na kupumzika.

Kumbuka kua uzito mkubwa huukata mwili, na hii ni best case scenario worst case ni kuiumiza misuli na enka. Uzito saizi yako hukujaza na kukutengenezea misuli unavyotaka.
 
Zoezi lipi haswa linatakiwa kwa mtu anayeanza zoezi "beginner" kwenye orodha hii;
-Kukimbia
-Push ups (na kariba zake)
-Squats n.k
-Kuruka kamba.
Au inategemea na malengo ya muhusika.
Pia matokeo ni baada ya muda gani haswa, siku 21...Au ni long term
 
-Sirecommend kukimbia mara kwa mara kama una lengo la kutaka kujaza mwili, ile siku moja ya kupumzika itumie kwa kukimbia.

-Push ups ni nzuri in fact baadhi ya watu wakimaliza kufanya pull ups hupiga push ups kwanza (kwa beginner ni nzuri zaidi itampa nguvu za mikono).

-Squats ni lazima ili kubalansi mwili, lakini hatuchanganyi mazoezi na kupelekea kutengeneza kachumbari squats ni zoezi la miguu ina siku yake.

-Kuruka kamba ni aina ya cardio, siyo mbaya kuruka kwa kua ni aina ya warm up kabla haujaanza workout yako.

-Kwa mtu anayeanza na anakula ipasavyo, anakunywa maji ipasavyo na kupumzika ipasavyo matokeo ni ndani ya wiki sita. Ila pia kuna factors kama genetics na ubora wa chakula kati ya mtu na mtu.
 
Na kukimbia unatakiwa ukimbie km ngapi kwa siku ???kitaalam
 
gym nzuri sana kwa kujiweka fit, ila hata ukikosa access ya gym fanya manual fitness schedule ya kila siku, push ups, squats, kuruka kamba na cardio boxing au karate ni nzuri kwa afya
 
Na kukimbia unatakiwa ukimbie km ngapi kwa siku ???kitaalam
Sina observation ya kitaalam mkuu, sijasomea haya mazoezi.

Kiuzoefu, hua nakimbia kutoka Victoria mpaka Coco beach. Nikifika kule nafanya Raundi 3 za kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
 
Back
Top Bottom