bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 May 28, 2016 #2 Mvumbo said: Click to expand... Yalaaaaah
Mtu mzito JF-Expert Member May 13, 2016 1,779 3,183 May 28, 2016 #3 Ni siku ambayo utatamani uachiwe japo kidogo uandike wosia, naam haitawezekana hata kupata kikombe cha maji
Ni siku ambayo utatamani uachiwe japo kidogo uandike wosia, naam haitawezekana hata kupata kikombe cha maji
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 May 28, 2016 #4 Hiyo picha ya juu ni Jamhuri ya Afrika ya Kati, hiyo ya chini ni Kenya.
Mvumbo JF-Expert Member Aug 20, 2015 3,483 12,091 May 28, 2016 Thread starter #5 Konda wa bodaboda said: Hiyo picha ya juu ni Jamhuri ya Afrika ya Kati, hiyo ya chini ni Kenya. Click to expand... Balaa sana.....
Konda wa bodaboda said: Hiyo picha ya juu ni Jamhuri ya Afrika ya Kati, hiyo ya chini ni Kenya. Click to expand... Balaa sana.....
Goodluck TZ JF-Expert Member Oct 24, 2015 1,448 661 May 28, 2016 #6 dhambi kama hii m2 anatenda kwa mwenzie jaman hata shetani anatucheka
Sirini JF-Expert Member May 25, 2016 743 1,052 May 28, 2016 #8 Goodluck Mchika said: dhambi kama hii m2 anatenda kwa mwenzie jaman hata shetani anatucheka Click to expand... Hapo ukiuliza kosa, "kaiba kuku"
Goodluck Mchika said: dhambi kama hii m2 anatenda kwa mwenzie jaman hata shetani anatucheka Click to expand... Hapo ukiuliza kosa, "kaiba kuku"
Zuleykha JF-Expert Member May 20, 2016 1,176 1,680 May 28, 2016 #9 Maskini wee inamaanisha hao wanaofanya hivyo hawana watoto
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 31,259 52,567 May 28, 2016 #10 Utakuta kamfyonza mwanajeshi du
Goodluck TZ JF-Expert Member Oct 24, 2015 1,448 661 May 28, 2016 #11 Sirini said: Hapo ukiuliza kosa, "kaiba kuku" Click to expand... Sipati picha cku ya hukumu
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 May 28, 2016 #14 Mtu ambae kila siku unafanya mazoezi kwaajili ya kumuua binadamu mwezake akili yake haiwezi kuwa sawa hata awe amesoma vipi.
Mtu ambae kila siku unafanya mazoezi kwaajili ya kumuua binadamu mwezake akili yake haiwezi kuwa sawa hata awe amesoma vipi.
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 May 29, 2016 #15 Kwa sisi waafrika tulivyo, unaweza kukuta jamaa kafumaniwa na mke wa afande
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,097 May 30, 2016 #16 Yaani hawa watu nawakabidhi kwa shetani tu maana mungu ni mwema atawasamehe
Mvumbo JF-Expert Member Aug 20, 2015 3,483 12,091 May 30, 2016 Thread starter #18 Hapo ni balaa zito na hapatiliki mguu hata kama anaepigwa unamjua
Mbulu JF-Expert Member Apr 15, 2015 5,620 5,513 Feb 2, 2017 #20 Mvumbo said: Click to expand... Ndo jamaa mwenye mbuzi nini....?