Comment kwa kingereza hapa, wacha blah blah Mamluki. Ni rahisi sana Wewe ku comment in English kufunga mjadala . Wewe unajua English kitu ambacho siamini na ninaamini kabisa huna exposure , so nimekuomba mawasiliano yangu na wewe hapa yawe kwa English . I am sure huna hiyo Confidence.
Andika hapa kwa kingereza tujue level yako. Kumbuka wewe ni mtanzania,
Endelea kuwa 'sure' lakini,
Mr. 'none sense'😛 bado hujanishawishi mimi.
Hiyo nafasi ya unachodai ni 'exposure' hujaitendea haki kwa mtaji wa kiwango unachokionyesha hapa..
Dalili ya mbabaishaji ni kuzalisha mada ndani ya mada badala ya kujibu hoja za msingi uliyoulizwa.
Kingine unanionea na sijui niseme mara ngapi unielewe,
Hakuna mahali mimi nimetamba kuwa najua 'Kiinglish' uwe unaelewa mimi nimevutiwa na 'Matango' pori yako😛
Ok...turudi kwenye uzi wako.
Ukishakufa umekufa usifikiri kama yale uliyosema watu watayatekeleza
Mfano mzazi kafa anawambia watoto wasiuze nyumba,watu wanauza tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tuanzie hapa
''16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, 17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika. ''
Tuje hapa
MLANGO 3
1 ''Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? 2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; 3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa. 4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa, 5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.''
Tumalizie hapa
Vifungu hivi vinaonesha Adam na Hawa hawakumtii MUNGU.
Thanks kwa kunielewaSawa Mkuu , all the best
Fadhakir Inna faa aat dhikra, many yakhshaa.Baada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO.
-
Tukiwa na training team ya China MSS, swali la kwanza kuulizwa ni; " Do you fear death ? My honest answer, as we were taught never to lie, was Yes, I do.
-
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something that you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return ? They asked
-
We don't know!, we replied.
-
Wakatuambia, ili mjifunze haya mliyojia and to serve the world as well as the state; you guys have to accept death as the matter of TRUTH. Pili, No one knows the TRUTH but we think we do. We live in myths and fantasies of the past just to secure our insecurities.
-
It is one of those days I came to realize that many people have been dying without living the life . Ni wachache sana wamefanikiwa kufunua BUSWATI na PAZIA ili kuona the glimpse of life. Kibaya zaidi haya mambo you can not be taught. Verily, you have to check it by yourself.
-
Curiosity never killed the Cat. THINK!
-
Siku ya KIFO Changu
1. Sitotaka mwili wangu kusafirishwa kupelekwa Kilimanjaro Unless nimefia NAMIBIA, kitu ambacho siamini hivo, siku zangu zikikaribia, for sure I will know, nitarejea nyumbani. Nitapenda kuzeekea Dar es salaam, mji ambao ninaupenda sana.
2. Nimefungua death account kila mwezi naweka dola 100 kwa ajili ya kugharamia maziko yangu, hata hivyo, nimetoa tahadhari maziko yawe ni ya gharama ndogo kabisa ikiwezekana yasizidi laki 3 za kitanzania. Pesa zitakazobaki isipelekwe kanisani wala msikitini, ipelekwe kwa binadamu wenye uhitahitaji wa chakula na Malazi, wagonjwa wa kansa ambao dawa zao ni ghali sana.
3. Siamini katika Matanga, and I totally discourage watu kunikalia Matanga, sijawahi kuona umuhimu wa hili zoezi, zaidi ninaona ni sehemu ya umbea na majungu ya kujadili mambo yasiyowahusu.
4. Ndani ya masaa saba tangu kuiaga dunia niwe nimeshafukiwa, asisubiriwe mtu yoyote kwa sababu haitobadili ukweli, kunichelewesha ni kufanya niendelee kuoza na Kutoa harufu. Sitaki mtu asikie harufu ya mwili wangu wa kuoza, na wala sitopenda kuwekwa dawa ya ku stop decaying process. ( Formaldehyde).
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
7. Pombe na Ulevi haviruhusiwi kwenye maziko yangu. Wala sitotaka watu wavae nguo nyeusi. What the hell na nguo nyeusi. Watu wavae mavazi waliyoyazoea na ya kawaida
8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence
9. Haitoruhusiwa Kulia. Kwanini ulie? Kwani hukuwahi kujua kwamba tumezaliwa ili tufe, jiandae kwa sababu for sure Utakufa.
10. Ndugu yoyote hausiki kwenye Mali zangu kwa namna yoyote ile, mali zangu ni za watoto wangu na mke wangu tu, I have documented that on my diary, Bank accounts and legal issues.
-
Je, siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?
Thank you and Rest In Peace to all the humans who have stepped into the truth of death. To all the humans who Have died due to Covid-19, and for those who continue dying due to COVID -19.
Chukua Tahadhari. Akili za kuambiwa, Changanya na zako.
1. LabdaMbona unachanganya mambo mengi sana!??? 1. God exists 2. Satan exists 3. Sin exists 4. Final punishment is real 5. Heaven is real
Biblia ilidanganya sana hapo.Kifo ni matokeo ya uasi wa mwanadamu
Rejea vitabu vitakatifu mfano mzuri ni Biblia
Soma Mwanzo sura ya pili yote then utapata majibu.
Kama kuna swali uliza.
😀 😀 😀 😀Wanadamu mtahangaika sana na kifo, na kifo hakitachoka kupitia mmoja baada ya mwingine kwa zamu zamu.
Dawa ya kifo ni moja tu kuacha kuzaliana, kwa nini uzae kwa nini ulete kiumbe ambacho mbali na kuketa usumbufu kwa viumbe wengine kitaishia kufa siku moja.
Dawa ni kuacha kuzaliana haya maamuzi yapaswa kuchukuliwa kwa pamoja, sababu kwa mtu mmoja haina maana kwani kifo kitaendelea kuvuna watoto wa walioamua kuzaaa
Ilidanganya kuhusu nini???Biblia ilidanganya sana hapo.
Hakuna uhusiano kati ya uasi na kifo. Binadamu hajawahi kuasi kwa sababu hakuna dhambi wala shetani. Kifo kipo kuweka mlinganyo kati ya raslmali zilizopo na watumiaji wa raslimali hizo.Ilidanganya kuhusu nini???
Mambo yapo wazi!
Kuna muda utafika ukweli utajitenga na uongo.Hakuna uhusiano kati ya uasi na kifo. Binadamu hajawahi kuasi kwa sababu hakuna dhambi wala shetani. Kifo kipo kuweka mlinganyo kati ya raslmali zilizopo na watumiaji wa raslimali hizo.
Kwa mujibu wa imani yangu BIBLIA ndio inayotoa majibu.Naomba kuuliza Mtumishi, Wewe ume verify vipi imani yako ni ya kweli ?
Mkristo,Wewe ni dini gani ?
Lakin hata wewe mbona unaogopa kifoKwa bahati mbaya kabisa nitahudhuria maziko yako!