Siku ya 'kifo cha CCM' wewe utafanya nini kwa furaha?

Kwa jinsi ulivyoweka nadhiri yako weye mwenyewe unaonyesha una shaka na tukio hilo.
 
Nitakwenda kumuamsha Ole sokoine ashuhudie laana za wauaji wake zikitimia live huku nikimleta Balali mzoga mzoga wakati naimba Yesu Ni bwana
 
Nitapenda tafuta wanwake wazee wamatandike Viboko VINGI SANA WASSIRA ,CHENGE WEREMA, MUHONGO, LUKUVI MALIMA. live ktk TV.
 

CCM haiwezi kuondoka madarakani labda iondolewe madarakani.

Swali ni kwa siasa zetu hizi za maslahi zisizo na dira sahihi ya kuiondoa CCM madarakani, ni nani ataiondoa CCM hapo ilipo?
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani labda iondolewe madarakani.

Swali ni kwa siasa zetu hizi za maslahi zisizo na dira sahihi ya kuiondoa CCM madarakani, ni nani ataiondoa CCM hapo ilipo?

Wewe,mimi na yule (peooople's power)
 
Mimi nitalia maana hakuna chadema imara bila ccm na chadema wanaweza kuwa km ccm...!
 

Kwa jinsi muelekeo ulivyo ccm kamwe haitatoka madarakani, labda litoke jina tu la ccm lakini watu watakuwa walewale ila wamejabadilisha jina tu, tatizo sio jina ccm bali watu waliiomo mule na tabia zao ambao watanzania wanaamini kweli kweli, eti mtu mwizi akiwa ccm akienda chadema anageuka malaika ghafla, ama kweli sisi watanzania ni mizigo tena mizigo ya mavi hatubebeki, mtu akituweza kwa uzito atatushindwa kwa harufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…