Siku ya hedhi duniani: Wanaume na pedi

Siku ya hedhi duniani: Wanaume na pedi

The red sea..........Mkaka mmoja hapa ajitokeze aniletee pad🙈🙈🙈🙈usione aibu nenda pharmacy uwambie nataka pad😂😂😂
 
Ukipenda sana kufatilia mambo hayo..chumvini utakua unapaona kama jehanamu

Tunaomba muendelee kutuficha haya mambo yenu ya ndan jaman..hatutak kuyasikia kwasabab

Yaan nione mambo yako leo..keshokutwa nizame chumvini?..haiwezekan

Sasa nyie jifanyen wehu endeleen kutupa details
.msilalamike tukichepuka
 
Baharia unakwama wapi? Usiogope kwenda Uvinza mkuu
 
Ukipenda sana kufatilia mambo hayo..chumvini utakua unapaona kama jehanamu

Tunaomba muendelee kutuficha haya mambo yenu ya ndan jaman..hatutak kuyasikia kwasabab

Yaan nione mambo yako leo..keshokutwa nizame chumvini?..haiwezekan

Sasa nyie jifanyen wehu endeleen kutupa details
.msilalamike tukichepuka
Unaechepuka nae Hana hedhi au?
 
Je wewe kama mwanaume unafahamu taulo za kike? - Ndiyo
Je huwa unahakikisha mwanao wa kike au mwanamke yoyote wa karibu yako anapata hedhi salama kwa kumnunulia ped? - Ndiyo
Au Bado uko na mentality kwamba huwezi shika ped? - Hapana, ila siwezi kuishika hasa ikishatumika, labda iwe mpya package yake.
Unafahamu ped gani? Zitaje. - Always
Je ulishawai kuona hedhi? - Hapana
Ulijiskiaje? - Naomba Mungu isitokee nikaiona.
Naunga hoja sitaki kuona sitaki kuiona sitaki kuiona daima, maana nahis sitatafuna tena papuchi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom