Siku ya hedhi duniani: Wanaume na pedi

Siku ya hedhi duniani: Wanaume na pedi

Tunadanganya Sana tu.nilishawai kulala na mwanaume nikamdanganya fresh tu.kuna wanaume wengine magentlemen kama hutaki basi mnaendelea na maisha mengine
Ila makauzu kama mwenzetu huyu mmh unaweza fumuliwa hate marinda eti loh
Sasa unakagua Nini??
Daaa, ndio maana wifi yako akiwa hama mood huwa anatadanganya sana, mara tumbo linauma mara hili na lile.
 
Tukiwa tunaadhimisha siku ya hedhi duniani mojawapo ya Jambo ambalo ningependa kulizungumzia ni uelewa wa wanaume juu ya matumizi sahihi ya taulo za kike au ped /sanitary pad.

Je wewe kama mwanaume unafahamu taulo za kike?

Je huwa unahakikisha mwanao wa kike au mwanamke yoyote wa karibu yako anapata hedhi salama kwa kumnunulia pedi? Au Bado uko na mentality kwamba huwezi shika ped?

Unafahamu pedi gani? Zitaje.

Je ulishawahi kuona hedhi? Ulijiskiaje?

Neno moja kwa hedhi tafadhali
Je hizi taulo hazina madhara yoyote kwa wavaaji ?
 
Nikiwa kwenye hali hiyo huwa nahisi mwili wote una kaharufu ka damu hata nijipulizie manukato.
 
Basi haipaswi kusema ni mateso ilihali ni jambo la kawaida

Mateso inaweza kuwa jambo la kawaida kama ukijua source ya hayo mateso
Kuumwa tumbo kipindi cha hedhi ni jambo la kawaida sana kwangu,japo ni mateso

Tofauti na hapa nilipo tumbo likiuma lazima nitajua sio kawaida kwasababu sio muda wake
 
Naomba uzi huu usitishwe kwa heshima ya mama zetu,dada zetu,shangazi zetu na watoto wetu turejee misingi ya watanzania wa kale.
 
Back
Top Bottom