Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,777
- 126,724
Hahahaaa.Wewe Ni baba Bora aisee .likauzu langu nilikituma pedi halileti.
Mfundishe mbinu za kwenda kununua huenda anaona aibu huko madukani
Hahahaaa.Wewe Ni baba Bora aisee .likauzu langu nilikituma pedi halileti.
Mtoto akae wapi Sasa wakati uterus inabomoka??Uterus inataka mtoto hiyo.....[emoji1787][emoji1787]
Dawa yake naijua nimemuacha tu hivo hivoHahahaaa.
Mfundishe mbinu za kwenda kununua huenda anaona aibu huko madukani
Mimi sio bikra,sijawahi kuzaaBado wewe bikra au umeshazaa?
Walaaa 🤣🤣Mzee wa fursa taratibu
Muda bado 😂Uterus inataka mtoto hiyo.....🤣🤣
Kumbeeee.....Mimi sio bikra,sijawahi kuzaa
Maumivu kipindi cha hedhi ni kawaida kwa asilimia nyingi ya jinsia ya kikeHata kama unakuwa sawa baada ya hizo siku, hapo kuna tatizo.
Muone Daktari wa masuala ya uzazi uweze kubaini hilo tatizo na kuchukua hatua stahiki
😂😂😂 jamaniKumbeeee.....
Basi miye mwanaume ninakushauri kuwa uterus imekuwa empty sana....🤣🤣
🤣🤣Endelea kupambana na hayo maumivu miss ha ha haMuda bado 😂
Ahaaamimi binasi huwa naziona mara kwa mara maana mtu akiniambia hataki nimchakate coz yuko kwenye siku zake huwa sikubali mpaka nikague nione kabisa hedhi yenyewe ndiyo akili inakubali kutulia.
Hutaki kudanganywa kabisamimi binasi huwa naziona mara kwa mara maana mtu akiniambia hataki nimchakate coz yuko kwenye siku zake huwa sikubali mpaka nikague nione kabisa hedhi yenyewe ndiyo akili inakubali kutulia.
Kwani nikizaa maumivu yanaisha?🙄🤣🤣Endelea kupambana na hayo maumivu miss ha ha ha
Basi haipaswi kusema ni mateso ilihali ni jambo la kawaidaMaumivu kipindi cha hedhi ni kawaida kwa asilimia nyingi ya jinsia ya kike
Sio vizuri mtoto wa kike kugegedwa na mtu sio mumeoMimi sio bikra,sijawahi kuzaa
😲😲🤣🤣Ahaaa
Saa zingine tunawekaga ubuyu au tomato maana wanaume wengine tumewachoka
Duuh🤣🤣mimi binasi huwa naziona mara kwa mara maana mtu akiniambia hataki nimchakate coz yuko kwenye siku zake huwa sikubali mpaka nikague nione kabisa hedhi yenyewe ndiyo akili inakubali kutulia.
Ni kweliSio vizuri mtoto wa kike kugegedwa na mtu sio mumeo
Tunadanganya Sana tu.nilishawai kulala na mwanaume nikamdanganya fresh tu.kuna wanaume wengine magentlemen kama hutaki basi mnaendelea na maisha mengineHutaki kudanganywa kabisa