Haa ha ha....wee balaa!!Nishapigwa chini 2010 na depo moja hivi kali sanaaa nilichokifanya nikajiwekea ukaribu sanaa na marafiki zake ili wanipe ushauri (LENGO ILIKUWA NIWATAFUNE WOTE WATATU) mwisho wa siku kwa kutumia itikadi za ufisadi nikala wawili kitu ikasanuka..........
Haa ha ha...Mkuu uliachaa wotee kisa mmoja ukapigwa chiniMimi nilikuwa na historia ya kuacha tu sikumbuki kuachwa, kuna mmoja huyu alikuwa bikra nikamla wakati nipo nae, mimi na gf wangu tuligombana kama wiki 2.Baada ya wiki 2 tukarejeana na gf wangu sasa, Huyu mtoto bikra kumbe si alipagawa wakati huo huo nilikuwa na demu mwengine mjane huyu alikuwa anagegedana hatari. Sasa nikiwa nishazowea kuacha nikapata manzi mmoja mzuri na papuchi yake tamu hatareee. Nilidumu nae kwa miezi 6 akaniwacha nikaanza kupiga Pombe hatari sana. Nikawakumbuka manzi wa zamani niliowaacha sijui walikuwa na maumivu gani, bahati nzuri niliacha kulewa sasa navuta bangi kama mbuzi na majani.
Ndukiiiii♂️♂️♂️
Mkuu katika hili swala la kuachana ndipo nilipo amini papuchi au wanawake wana tofautiana. Kuwa na wanawake wengi bado siyo solution, anaweza kukuliwaza for the time being ila kuna vitu lazima uvimiss kutoka kwa muhusika mwenyewe.Mwanaume ukikosa kabisa basi uwe na wanawake watatu...nimemaanisha
Usiludie kosa LA kuwa na demu mmoja panga ata sita saba ivi ukiona VIP ata kumi kabsa ila ndo ukimwi umekaa patamu kwelikweliIlikuwa ndo first love kipindi hicho ninae mmoja tuu...!! Kujikutaa loyal khaaaa nlinyooshwa
Hamna bwana wengine tunawapenda wengine tunabuy time tukiwasubiri tuwapendaoHapa nimekuelewa sana ,ndo maana kupoteza muda na mioyo ya wanawake ni Kama kujiingiza kwenye kamali kwa uzoefu wangu 80per ya wanawake mahusiano hawajawapenda wenzi ni upweke na uselfish ,wanaume wa desgn yako tupo tatizo sisi hatupewi mzigo tukijaribu kusema hatuwezi date ,so tunadanganya tukisha onja msaada ni kuacha taratibu bila kuumiza
Hapana. Mapenzi yameisha. Hata nikiongea hamna msisimko Kama ule wa zamani. Na simuamini tena. Mapenzi yameisha sasa hivi japo kuna muda nammmiss ila najua ni sababu ya loneliness tuNaomba kuuliza hivi akija kuomba msamaha wa zamani unaweza kumrejea? Sababu ya kukuuliza hili suali kuna ex-wangu wa zamani nimerejeana nae ila naona hatabirikia leo anataka kesho hataki.
Nilishukuru mungu kwani alikuwa kama deni la mkopo linalosubiria rejesho la kila mwezi.Aisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu sana nilionaa kama gizaa hivii afuu nikataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii kwanzaa yale maumivu Mungu ndo anajua.
Ulikuwa na hali gani siku umeachana na mpenzi wako?
Sikumkosea chochote huwezi amini. Nilikua nahamia NYUMBA nyingine nikamwambia. Kumbe ile ndo ilikua sababu. Anasema aliona hata kunisaidia kodi hawezi na akija anafikia kwangu na Dada zake wakamwambia huyo mwanamke humuwezi. Kwahiyo akaona bora ajitoe kwa style hiyo ya kutopokea simu. Alirudi akaomba msamaha ndo akaniambia hizo sababu na nikamsamehe sababu nafasi yake ilikuwepo bado. Ila sikua na imani nae tena. Hata mapenzi nikaona hataki Kama zamani.Ulimkosea nini?
Sawa booBasi ngoja nijipange bae
Pole mkuu. Hata Mimi sijawahi kuambiwa nakuacha, ila nasoma mazingira tu. Baada ya hapo najiongeza, then maisha yanaendelea.Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Utapenda tenaa tuu ndo maana Mungu aliweka kitu kusahau sema now utakuwa hujalii tenaa hata mkibreak up hutaumiaHapana. Mapenzi yameisha. Hata nikiongea hamna msisimko Kama ule wa zamani. Na simuamini tena. Mapenzi yameisha sasa hivi japo kuna muda nammmiss ila najua ni sababu ya loneliness tu
ndio hivyo mkuu" haya mahusiano ya kibongo usipojiongeza",Utakuwa waishia kulia lia tuAkili mingi
kabisa mkuu" Usipojiongeza " inakula kwako tu ..usipende kuwa mnyonge mnyengo mahusiano yatakuwa yanakuachia makovu ya maumivu kila sikuUmepita mule mule! Ukiona dalili za mawingu tu unaandaa mwamvuli kabisa maana mvua inaweza nyesha muda wowote
Hahahhahah loh, umeniacha hoi kwakweli.nililewa saaanaaaa
sijawahi kulewa kama vile
nikashauriwa nilie
nikalia sana
machozi yakatoka na sumu ya kuachwa
LAKINI SHOW ZA KIBABE UNAENDELEA KUTOA?Sikumbuki kuambiwa tuachane ila aliacha kupokea simu bila sababu. Nilivyokuaa nampenda yule kaka Nilijua maisha yamefika Mwisho. Nililia nikalia na nikalia tena.
Akaondoka na mapenzi yangu. Mpaka sasa ni miaka mitatu sijawahi kupenda tena
Wabongo.... Usione kichaka.... Jokes!story zetu zinafanana vip tukitoka kwa dinner msupuu
Naomba nikuuzie BangiMimi nilikuwa na historia ya kuacha tu sikumbuki kuachwa, kuna mmoja huyu alikuwa bikra nikamla wakati nipo nae, mimi na gf wangu tuligombana kama wiki 2.Baada ya wiki 2 tukarejeana na gf wangu sasa, Huyu mtoto bikra kumbe si alipagawa wakati huo huo nilikuwa na demu mwengine mjane huyu alikuwa anagegedana hatari. Sasa nikiwa nishazowea kuacha nikapata manzi mmoja mzuri na papuchi yake tamu hatareee. Nilidumu nae kwa miezi 6 akaniwacha nikaanza kupiga Pombe hatari sana. Nikawakumbuka manzi wa zamani niliowaacha sijui walikuwa na maumivu gani, bahati nzuri niliacha kulewa sasa navuta bangi kama mbuzi na majani.
Ndukiiiii♂️♂️♂️
aaaa sana tuWabongo.... Usione kichaka.... Jokes!