Siku ya 40

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
kibaka+wa+simu.JPG
 
Tunamkosea sana Mungu, lakini anatusamehe! Hebu fikiria, karibu kila weekend watu wanazini, karibu kila siku watu wanasema uongo, karibu kila baada ya miaka miwili wadada wanatoa mimba. Wote hawa, kwa namna moja au nyingine Mungu huwasamehe wanapotubu. Lakini binadamu hana msamaha kabisa. Hebu fikiria jamaa inawezekana ameiba nokia ya tochi tu (30,000/=), lakini amepewa the maximum sentence (death). Mnh, God forbid!)
 
hao wanaorusha mawe ina maana hawajawahi kutenda kosa hata mara moja maishani mwao?????tena baadhi yao wametenda makosa makubwa mara mia ya hilo la huyo jamaa.....Mungu uturehemu kwa maana tumekokosa amina.
 
hapa hakuna ubinadamu kabisa kama kuzini ni adhabu hii basi .............................
 
kuna watu wana roho mbaya na ngumu! Khaaaa! Nimeharibu siku yangu, najuuuta kuingia humu!
 
Sawa tunaibiwa, ila huu ujasiri wa kurusha jiwe, naona kidogo unanizidi nguvu.
 
Kwa kweli ni kitu kinacho tia huzuni sana. Haya yote yanatokea sababu ya vyombo vya usalama na haki havifanyi kazi. Ikiwa mchomoaji atapigwa na mawe mpaka afe ambayo ni adhabu au hukumu ya mwisho. Je polisi au hakimu anaekula rushwa unafikiria afanywe nini - hao ndio walikua wanastahili kufanya hivi.

Rudisheni sungu sungu - kulikua na amani.
 
Mi naona nyie mnaongea hmjawai kuibiwa siliousy,
m'na hmn kitu inauma kama iyo yaani hata uwe na roho gani? Lbd kama ulichoibiwa si chako!ulikitapeli sehemu,hp sawa.
 
Yaani huyo jamaa hapo ameshaingia kwenye list ya watu waliouua duniani
 
Back
Top Bottom