Siku ya 4 baada ya Mbowe kushambuliwa; Siyo Lipumba au Mbatia ni kimya kizito

Bbe ulikuwepo nn?
Waseme nini wakati wanaelewa usanii wa chadema. Mabeberu wanaelewa mpango mzima wa kuichafua ccm ndio maana kabla hata mate kukauka na polisi kusema kitu wao tayari wanatoa taarifa kuilaume serikali.
Hebu fikiri mtu avurugwe na watu watatu hadi kuvunjwa mguu nguo hata moja haikuchanika au miwani kuvunjika. Utafikiri aliwapa kiwiko cha mguu kwa maelewano wamtengue huku yeye anavumilia bila kujitikisa. Ujinga gani huu.
 
Nachojua ukienda kwenye utube utaona Mh.Mbatia alitoa pole kwa Mh.Mbowe akiwa kule Arusha kwenye harakati za kutafuta wanachama.
 
Back
Top Bottom