Siku ukiwa Rais mtu wa aina hii utamfanya nini?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,692
Reaction score
2,860
Habari JF,

Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.

Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya.

Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu utamfanyaje?

1. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya

2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini

3. Unatengeneza mazingira mazingira mazuri ya kupata pesa kutoka nje, Mtu anapiga propaganda huko nje kwamba wale watu sio wa kuwapa pesa

4. Unahamasisha watu walipe kodi na Tozo kwa ajiri ya maendeleo mtu yuko bize mitaani na mitandaoni kupinga zoezi hilo lisifanikiwe

5. Uko bize unapambana na Changamoto za uongozi Mtu yuko bize mitandaoni ana andika mambo machafu na kukutukana mitandaoni mbele ya watu unao waongoza

6. Unapambana na changamoto za Uongozi mtu yuko bize kwenye Chama kumobilize wanachama wakutoe madarakani

7. Unajitahidi kuongoza Nchi pamoja na changamoto zake Mtu yuko bize kupiga propaganda Chafu uonekane hufanyi kitu.

8.Kiongozi uko bize unaandaa zoezi la Sensa Taifa 2022 mtu yuko bize anahamasisha watu wasusie sensa ili zoezi likwame .

Wana JF mtu huyu utamfanyaje? Maana hiki ndio chanzo kikubwa cha viongozi wengi kuonekana wabaya Duniani.

Binafsi mtu wa namna hii siwezi mvumilia hata kidogo na ntapoteza watu wachache kwa ajili ya maendeleo ya watu wangu.
 
. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya

2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini
Katiba mpya sio jambo la hisani ya viongozi au nini, bali ni haki ya wananchi wote tambua hilo!
Ni mwendawazimu peke yake ambae anaweza kusema katiba sio muhumu au haki ya wananchi wote.
 
Habari JF,

Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti...
Nitamtafutia mdada km yule aliyemficha diwan na mkewe nitamtafutia kibenten alaf wote watafanyiwa km mama j na utopolo mwenzake baada ya hapo magazet na redio za udaku+insta na Twitter kote huko habar itakuwa ni hiyo baada ya mwez tisiaraei watakuja kuizimua na ndani ya chama mambo yatakua mpaka akija kukaa sawa sidhan km atakumbuka hayo uliyoyasema hapo
 
Naupenda utawala wa Rais Samia sababu sio mabavu kama wa Jiwe, Jiwe alikuwa shetani mtu.

CHADEMA wanachofanya ni sahihi kabisa sababu wao ni Upinzani. Mpinzani kazi yake ni hiyo.

Ukiwa kiongozi top, lazima uwe na guts, sio kila jambo negative la kulibeba moyoni, elewa kuwa hao wanaotamka negative ni kadhaa, na wapo kadhaa wanaozungumza positive kuhusu wewe.
 
😂😂😂😂
 
nisingewafanya chochote, kuepusha machafuko kama aliyotokea srilanka ningejiuzulu tu kwani lazima mimi tu ndiye nafaa kuwa Rais
wanaharakati sio wakuwachekea
 
Habari JF,

Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.

Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya.

Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu utamfanyaje?

1. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya

2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini

3. Unatengeneza mazingira mazingira mazuri ya kupata pesa kutoka nje ,Mtu anapiga propaganda huko nje kwamba wale watu sio wa kuwapa pesa

4. Unahamasisha watu walipe kodi na Tozo kwa ajiri ya maendeleo mtu yuko bize mitaani na mitandaoni kupinga zoezi hilo lisifanikiwe

5. Uko bize unapambana na Changamoto za uongozi Mtu yuko bize mitandaoni ana andika mambo machafu na kukutukana mitandaoni mbele ya watu unao waongoza

6. Unapambana na changamoto za Uongozi mtu yuko bize kwenye Chama kumobilize wanachama wakutoe madarakani

7. Unajitahidi kuongoza Nchi pamoja na changamoto zake Mtu yuko bize kupiga propaganda Chafu uonekane hufanyi kitu.

Wana JF mtu huyu utamfanyaje? Maana hiki ndio chanzo kikubwa cha viongozi wengi kuonekana wabaya Duniani.

Binafsi mtu wa namna hii siwezi mvumilia hata kidogo na ntapoteza watu wachache kwa ajili ya maendeleo ya watu wangu.
Nikweli Kuna watu Inatakiwa wapotezwe kwa maslai ya Nchi,

Maana Ni maadui wa maendeleo
 
  • Thanks
Reactions: RNA

MKUU

UNAKUMBUKA kikwete NDANI ya CHAMA aliwaambiaje Wana CCM!!?

""Wakisema hatufanyi KAZI pazeni SAUTI mseme tumefanya HIVI na vile!!!

"Tukianza kutegemea polisi kutetea chama tumekwisha""

Sasa wewe sema humu chama kimefanya nini Ili watu nao waseme wamekosea Nini!!?
 
kuna watu hata mfanyaje hawaoni utawasaidiaje na wanaharibu mitzamo ya watu wengine
 
Nikweli Kuna watu Inatakiwa wapotezwe kwa maslai ya Nchi,

Maana Ni maadui wa maendeleo
Kwanini kupoteza watu? Sheria zipo hadi za uhaini,
Mwenye kosa afikishwe mahakamani, akipatikana na hatia aadhibiwe kwa mujibu wa sheria,
Siku mtu wako wa karibu akiokotwa kwenye kiroba, utakumbuka huu uovu unaoutetea hapa,.
Nb, Wanapotezwa wanahatarisha usalama wa walamba asali sio wa nchi
 
Naupenda utawala wa Rais Samia sababu sio mabavu kama wa Jiwe, Jiwe alikuwa shetani mtu.

CHADEMA wanachofanya ni sahihi kabisa sababu wao ni Upinzani. Mpinzani kazi yake ni hiyo.

Ukiwa kiongozi top, lazima uwe na guts, sio kila jambo negative la kulibeba moyoni, elewa kuwa hao wanaotamka negative ni kadhaa, na wapo kadhaa wanaozungumza positive kuhusu wewe.
Jiwe aliwaachia makovu sana nyie wapumbavu!

Yani kila uzi lazima atajwe!

Ok.. Hivi cha kujivunia kwenye huu utawala wa Samia ni kipi?
 
Back
Top Bottom