Kojo la mwanangu litakuaje uchafu?baba ajaoga ngoja nimwogeshe na maji ya moto,
Aaafuuu nishawaweka sana hapo...
Hahaha...angelikuwa ni mtoto wa kibongo hapo nahisi angechezea kibano kidogo
Mkojo ni dawa ya kuharisha
Kunywa mwenyewe!
what a nice responsible dad....wabongo igeni na hii...kuliko kuiga visivyoigika vya kwenye mitandao ya jamii na tv.