Ulisema unadaiwa elfu 50 na nikakwambia tuma hizo reference hapa tukusaidia ukaingia mitini we mtt ukoje au sio mwaminifu kweli?
haukurudi tena. Na wala haukuangalia kile nilichokiandika. Nilitoa maelekezo ya jinsi ya kulipia kama nilivyoandika hapo juu. Wala haukfanya au kunijuza kama ulivyosema.
Unadaiwa bei gani mbona huweki wazi pia what happened mpaka ukashimdwa kuilipa??Habari za asubuhi, ni siku nne tu ndizo zilizobakia. Kiukweli inaniathiri kwa mawazo niliyonayo. Nimesoma kwa shida hapo awali na leo mwishoni nafikia kukata tamaa kwa kukosa kulipia mtihani. Tarehe 31 ndio mwisho wa kulipia. Sijui nini hatma yangu kiukweli. Wapo walioniambia najidhalilisha na wapo waliotaka niwape reference no lakini kimya mpaka leo. Wacha nijidhalilishe kwakuwa ni mhitaji kweli. Na laiti ningekuwa wa kudanganya nisingekuwa naendelea kujidhalilisha kama wengi wasemavyo. Nina shida kweli ndugu zangu. Endapo nikishindwa kati ya siku ya leo au kesho, sitaweza tena. Nawaomba kwa dhati ndugu zanguni... Namba ya simu ni 0654 929 003. Nawaomba sana.
Pamoko kaka
Niko serious, ila ulipiaji wake inatakiwa niambatanishe reference number pamoja na form ambayo nilifanyia mtihani wa kidato cha pili. Na jinsi ya ulipiaji wake una hatua kadhaa.
1. Unalipia katika ofisi za posta.
2. Unarudi na risiti mpaka shuleni. Kisha umasajili masomo unayofanyia mtihani.
3. Unasubiri form isainiwe na mkuu. Na hatua ya mwisho ni kuirudisha katika ofisi za posta kwa ajili ya kutumwa baraza la mitihani (NECTA). kwa hakika siwezi kudanganya hata mara moja. Nimekuwa nafanya hivh tangu tarehe 8. Siwezi kuongopa kweli
yaani katika sehemu zooote wewe umekuja kutumbukia MMU?!!!!...nina mashaka huenda bumu lote wametafuna wadada.
Madeni ya mwaka jana husahau? kwanza siku hizi konyagi nyingi feki. Achana nazo tusomeshe madogo.
Kwani huko kwenye nyumba za ibada wanatoa wapi hela kama siyo wewe kupeleka sadaka?jaribu kwenda kwenye nyumba za ibada, makanisani au misikitin naimani watakusaidia, na hiz hela unazoweka bando za kuingia JF! jaribu kizichanga changa pia.
Watu walikejeli sana Diaspora wote kwa $6,000 kutopatikana na kupelekea marehemu kuchomwa moto
Sasa naona nyumbani TZS 27,000 kumwezesha mwanafunzi kufanya mitihani inakaribia kuwashinda
Chris Lukosi Kiranga @Dr Mo Jerrymsigwa lusungo Nyani Ngabu Karucee Matola Dinazarde abokramu W. J. Malecela