Siku Nitakayorudisha Namba......

Siku Nitakayorudisha Namba......

I love bana Congo...

Kasie tosimbana na maboko
Kasie wo yo yo eeeh

Hahahahahahaaa Hahahahahahaaa

Unajua nini, umenipa bonus nzuri sana hapana jikoni. Yaani huku mkono unakoroga kwenye sufuria huku miguu na nyonga vinapishana kufatana na beats.....

Kishaiva, karibu mezani bana Congo.
Kasiba tosimbana na mabokoo...
Kasie Kasiba Lacostee.

Hahahahahahaaa wewe umenifanya nakuwa kama dancer, sijaanza kula naendelea kucheza bana Congo..... aahahahahaa kama nakuona unavoucheza huu wimbo.
 
Hebu tazama vizuri hii video. Nipo hapo...

Unavyomaliziaga thread zako huwa unanitia matatizoni sana, ila enewei mdogo mdogo nakuja PM, nina 'mission maalum' na wewe.
 
Unavyomaliziaga thread zako huwa unanitia matatizoni sana, ila enewei mdogo mdogo nakuja PM, nina 'mission maalum' na wewe.

Nilijua unatania kumbe kweli.....

Mission without vision becomes impossible.

All the best.
 
Hebu tazama vizuri hii video. Nipo hapo...

Kasiba nimeamka na tosimba na maboko....

Kile kibwagizo sasa, ......

Kasie na Kasiba tosimba namaboko
USA Baby....
Kasiba wooyoo ooh wooyoo ooh
Lacoste wooyoo ooh wooyoo ooh
Kasie na Kasiba tosimbanamabokoo......

Wooyoo ooh....uuhuuuu Kasiiibaaahhh
 
Back
Top Bottom