Siku nilipofunga ndoa -Picture- guess the music!

Siku nilipofunga ndoa -Picture- guess the music!

Eti eh jipe moyo....ingekuwa hvyo huyo kimbaumbau unayemwona hapo asingewekwa ndani....Kwahiyo usijumuishe hcho unachodhani wew ndiyo ndoa ukadhani kila mtu ndo anachukulia hvyohvyo....

Kila mwanaume aliyepuliziwa akakwaa kimbau mbau, lazima nje amiliki gari kubwa! Wana joto, acha tu.

Samahani kama wewe ni mhanga!
 
Kila mwanaume aliyepuliziwa akakwaa kimbau mbau, lazima nje amiliki gari kubwa! Wana joto, acha tu.Samahani kama wewe ni mhanga!
Ah nakupa pole wew mana hii miili wanasema hujafa hujaumbika....sasa sijui huyo bonge baada ya kumwingiza kwenye ndoa akawa kimbaumbau sijui utamkimbia au ndo hautashiriki nae tendo la ndo ingawa ni mkeo......wangapi unawajua walikuwa wembamba ila sasa ni wanene na wangapi walikuwa wanene wakawa wembamba.......hujafa hujaumbika....
 
Haa haa haa haa mpaka chini peleka juu pole pole eeehhh hapo hapo.
 
Ah nakupa pole wew mana hii miili wanasema hujafa hujaumbika....sasa sijui huyo bonge baada ya kumwingiza kwenye ndoa akawa kimbaumbau sijui utamkimbia au ndo hautashiriki nae tendo la ndo ingawa ni mkeo......wangapi unawajua walikuwa wembamba ila sasa ni wanene na wangapi walikuwa wanene wakawa wembamba.......hujafa hujaumbika....

Anyway, it is a matter of taste!
 
ah akizingua mtu mi najiachia bwn...af afadhali saiv ur avatar is cute,kale katoto kalikuwa kamepauka sana jmn haha

hahahahahaha thank u unafikiri najiona basi natumia wapsite

best mtu akikuzingua jiachie kwa step bwana au unampotezea tu
 
Eti eh jipe moyo....ingekuwa hvyo huyo kimbaumbau unayemwona hapo asingewekwa ndani....Kwahiyo usijumuishe hcho unachodhani wew ndiyo ndoa ukadhani kila mtu ndo anachukulia hvyohvyo....

sister!!!
 
Last edited by a moderator:
1592012_Wedding_day_n_jpg9ec993a951140df0dad4d1b54fcfc424

mi nadhani ni huu wimbo hapa..

angalia bwana harusi anavyokata kiuno to the right... mara to the left!!!

bi harusi nae kajiachia ile ile!!!

ongeza sauti usikie raha ya limbo dance...!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Ntu
Back
Top Bottom