Siku nilipoegemea mlango wa Gereza

Jina lako linasadiki
 
Shida zaidi ni soo linapobumburuka,hawapangiki,wanafunguka kila kitu mpaka style ulizokuwa unamgegedea..yaani,kuweni makini vijana...
 
teacher birthday yako lini? mimi tarehe 23. Nikaletewa bonge la keki na fungu la maua rangi nyekundu katoto ka 16yrs mwili wa Nicki Minaji (hata sura wanafanana). Mwezi uliofata niliacha kazi.
Kwamba mwezi uliofuata ukawa kwenye harakati za kukimbia msala au
 
Mkuu yellow eyes jela iliniita kwa sauti kuu, nikagoma kuitika, nikaona bora nikatafute riziki kwengine tu kuliko kuendelea kukaa pale
Duuu pole sana hutu tuviumbe kumbe n hatari
Kapo kamoja kamechaguliwa kwenda Alevel July aisee napiga chini kbs km n hivi.
 
Manina we ni wakufunga kabisa, unaiba hafi ng'ombe wa mzee aliyekufadhili makazi??[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…