yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Acha kuwatisha mabahariaNa watoto zenu watatafunwa hivyo hivyo tena vilivyo. Na mimba watapewa juu, na waliowapa hamtawajua ng'ooo mtaishia kulea wajukuu wasio na baba. What goes around comes arround subirini muone.





