Siku nilipoegemea mlango wa Gereza

Siku nilipoegemea mlango wa Gereza

Stori ipo hivi...

Wikiendi fulani mwaka juzi mida ya saa11 jioni baada ya kushinda zangu home tangu asubuhi na kazi za usafi na mambo mengine ya home nikasogea zangu kwenye kiduka cha Mangi hapa mtaani kwetu nikawa napiga Serengeti zangu taratiiibu

Mida ya saa2 akaja mrembo ambaye haishi mtaani kwetu kwa confidence ya kilaji nkamfata dukani na kumuomba namba akazingua nkampa yangu. Baada ya nusu saa akanitext mawasiliano yakaanzia hapo.

Kumbe alikua ananitext kwa simu ya mdogo wake anayesoma kidato cha tano hapa mjini. Denti akirudi shule jioni anaendeleza kuchati kana kwamba ni dada mtu na mm sijui lolote.

Yule dada akawa ameondoka kwenda kwao Tanga bila kuniaga kumbe hana simu na denti alimzingua kuendelea kutumia simu yake.

Sina hili wala lile nkawa nampanga aje kwangu akasema kwamba atakuja jmosi inayofata.

Nimekaa zangu home uzuri nyumba haina majirani wa karibu so sikuwa na wasiwasi. Mida ya saa tisa kamvua kananyesha denti (kumbuka hapo hajajitambulisha kama sio yule mdada wa mwanzo) mi nachati kichwani nkijua nachati na yule mdada akaniambia anakuja.

Ile anafika kumcheki ni mdada mrembo kuliko yule nliyekua nadhani nachati nae na miili ya watoto wa siku hizi nishiiiida, ikabidi nianze kumhoji imekuaje amekuja yeye akasema yule dada alishaondoka kitambo saana na siku zote nachati na yeye nkamwambia kwaio wewe ndo umeamua kuchukua nafasi yake akasema ndio.

Nikawaza kumrudisha kwao lakini tamaa ndo ishaniwaka. Nikamalizana nae akasepa, mara ndo ikawa mazoea. Ndani ya mwezi akadai kanasa hapo ndo mtiti ukaanza. Nlihangaika sana maana sijawahi juaga napata wapi msaada, kila nkipishana na askari magereza nahisi kama kaja kunikamata huku na kule nikapata msaada na kufanikisha zoezi. Ukawa mwisho wa uhusiano na hako kadenti.

Hawa watoto kwa kudakia mapenzi bado wadogo watatufunga bure.

View attachment 1103145View attachment 1103148
Mbona hizo pic zote ni za malaya wauza k
 
Pole sana...

Yule aliyeondoka bila kuaga, alikua ni house girl... huyu alieyeendeleza ndiyo mwenye nyumba sasa..


Cc: mahondaw
 
Hapa ndo balaa lipoanzia
Screenshot_2019-06-07-21-12-57.jpeg
 
wanakuwaga watamu balaa ila sitaki kuwasikia tena walishataka kuniweka sero kama mara mbili hivi sema tu kwa sababu ya kujuana na watu,

Ya mwisho kabisa nilishaambiwa vua mkanda, Vua viatu ile namalizia kuvua akatokea bro akamalizana nao ilitoka kama 500k,

Sitaki kuwasikia tena hawa viumbe wakusoma
Nilijua mzee baba lazima ulete kisanga.mm ni bora Nile mambo kwa mama mtu mzima wa miaka 60 lakini sio hawa watoto wa shule hatari sana
 
jaman jaman jaman acheni mimi ilinitokea nilipanga nyumba maeneo furani kumbe pembeni ya iyo nyumba kuna mzee anaishi na watoto wake wakike watano wakali kinoma na uyo mzee ni doctor na hana mke na ao watoto wote ni wa mama tofauti na ilikuwa mwezi wa 12 mwaka Jana likizo sasa si nikajenga nao mazoea nikaanza kula mmoja nikamla mpaka mwezi wa kwanza anakalibia kwenda shule basi tukaamua kupima ili tujihakikishie aende shule akiwa salama kiukweli hatukukuta mimba ok basi akaenda shule kumbe bwana mimba anayo ila kipimo hakikusoma kisa ilikuwa inasiku chache tu basi akaenda shule na mungu mkubwa hawakupima shule but tumbo lilikuwa linajaa kidogo kidogo mpka likizo ya mwezi wa nne akarudi kwenda kupima mimba inamiezi minne dah ilikuwa ni harar
msala uliumalizaje baharia?
 
Back
Top Bottom