Siku nilipoegemea mlango wa Gereza

Siku nilipoegemea mlango wa Gereza

Experience yangu kwa Mwanafunzi. Binafsi nilikuwa na hata sasa naogopa na kuheshimu Mke wa Mtu na mwanafunzi.

Zamani wakati wa ujinga wangu mara baada ya kumaliza Form Six. Nikaitiwa kupiga Tempo ya kufundisha huko Milimani Morogoro.

Nimepiga shule vizuri huku watoto wananizoea na kujigongesha ila mi nakaza na nina misimamo yangu. Kulikuwa na binti mmoja Mzuri, kalio lipo na yupo Form IV nilimkubali ila nikasimamia nadhiri yangu ya kutojishughulisha na Mwanafunzi kwani naye niliona ananikubali. Wakamaliza shule na kurudi mtaani nami nikapata chuo Morogoro Mjini na kuacha Temple na kwenda kupiga chuo huku nimemsahau.

Siku 1 napokea simu kuwa amekuja mjini na anaishi kwa Dada yake. Nikamuelekeza Geto akawa anakuja. Dah, nilimtoa Bikra yule Dogo nikawa najilia kama mke kila nitakavyo anaileta. Nilimpenda na alinipenda sana binafsi sikuwahi na kwa umri huu, sitapenda tena kama nilivyompenda yule mwanafunzi wangu. Naye alinipenda sana na tulipanga kuoana japo umri wetu ulikuwa mdogo nami kuna muda nilikuwa namnyanyasa na kumfanyia vitimbi.

Matokeo kutoka akapata ufadhili na akaenda soma ATC. Hahahaaaa, nadhiri zetu zikavunjika baada ya kwenda huko lakini mimi ndio nilikuwa mkosaji na alishindwa vumilia tabia zangu za kumfokea, mdharau, mtukana na ujuaji mwingi. Alicia sana na kusema.mimi na yeye basi nikajua utani kumbe ndio kweli. Nilichanganyikiwa sana baada ya kutokupokea simu wala jibu sms na baadaye kujua kaamua. Kila nikibembeleza hata pitia marafiki zake, wapi. Nikamtumia dada yake wapi, alinichoka. Nikafunga safari hadi Sanawari wapi. Basi ikawa ndio mwisho wenye maumivu mabaya kwangu. Nikaingia kwenye tabia za kishenzi tokana na maumivu.

Nisamehe mwanafunzi wangu Mamuuuu, mi mwalimu wako.
 
Stori ipo hivi...

Wikiendi fulani mwaka juzi mida ya saa11 jioni baada ya kushinda zangu home tangu asubuhi na kazi za usafi na mambo mengine ya home nikasogea zangu kwenye kiduka cha Mangi hapa mtaani kwetu nikawa napiga Serengeti zangu taratiiibu

Mida ya saa2 akaja mrembo ambaye haishi mtaani kwetu kwa confidence ya kilaji nkamfata dukani na kumuomba namba akazingua nkampa yangu. Baada ya nusu saa akanitext mawasiliano yakaanzia hapo.

Kumbe alikua ananitext kwa simu ya mdogo wake anayesoma kidato cha tano hapa mjini. Denti akirudi shule jioni anaendeleza kuchati kana kwamba ni dada mtu na mm sijui lolote.

Yule dada "dem wangu" akawa ameondoka kwenda kwao Tanga bila kuniaga kumbe hana simu na denti alimzingua akampora simu na kuendelea kutuchati na mimi.

Sina hili wala lile nkawa nampanga"demu wangu" aje akasema kwamba atakuja jmosi inayofata bila kujua ni imposter.

Nimekaa zangu home uzuri nyumba haina majirani wa karibu so sikuwa na wasiwasi. Mida ya saa tisa kamvua kananyesha denti (kumbuka hapo hajajitambulisha kama sio yule mdada wa mwanzo) mi nachati kichwani nkijua nachati na yule mdada akaniambia anakuja.

Ile anafika kumcheki ni mdada mrembo kuliko yule nliyekua nadhani nachati nae na miili ya watoto wa siku hizi nishiiiida, ikabidi nianze kumhoji imekuaje amekuja yeye akasema yule dada alishaondoka kitambo saana na siku zote nachati na yeye nkamwambia kwaio wewe ndo umeamua kuchukua nafasi yake akasema ndio.

Nikawaza kumrudisha kwao lakini tamaa ndo ishaniwaka. Nikamalizana nae akasepa, mara ndo ikawa mazoea. Ndani ya mwezi akadai kanasa hapo ndo mtiti ukaanza. Nlihangaika sana maana sijawahi juaga napata wapi msaada, kila nkipishana na askari magereza nahisi kama kaja kunikamata huku na kule nikapata msaada na kufanikisha zoezi. Ukawa mwisho wa uhusiano na hako kadenti.

Hawa watoto kwa kudakia mapenzi bado wadogo watatufunga bure.
CHAI
 
Back
Top Bottom