Hii kitu nilisha acha miaka 15 iliyopita.
Sababu za kuacha:kunasiku,nikitokea eneo Fulani ambapo nilikuwa napata mafunzo flani,mida ya jioni naenda kwa pusha(alikuwa mtu mzima kiasi),ananipa nalizibua haswa,chata za maana,Kisha narudi zangu,Sasa Kuna siku nikalalamika kwamba ya jana haikuwa poa Sana,akaniambia ngoja kidogo,
Pusha akaingia ndani,kutoka katoka na vishada kadhaa,akaninyongea nikala kaya,piga Sana bomba,yaani full mietete!![emoji95],baada ya hapo Sasa,kila nikitembea naona Kama nakanyaga shimo wakat njia ni tambarale kabisa,kichwani nikawa naskia Kama mtu anagonganisha vyuma paaaa paaa,full kelele za nyuki,!
baada ya hiyo hali nikazama sehem ambayo tunalala,ebana utadhani kitanda kiliwekwa matairi jinsi ambavyo kilikuwa kinakimbia,Mambo ni mengi nikaamua kuachana nayo tu.