20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Huu mmea una maajabu sana.Wewe kama Mimi sema ilinizingua siku moja usiku ndio ikawa mwanzo na mwisho japo kuna muda naitamani sana,
Unaweza jikuta, uliingia humu ,ukaanza kusoma story, ukanza kuona inafanan na yako kabisa, kumbe ni wewe ulihadithia
Una ji quote, Dah,hiii story kama yangu,kumbe ni wew ume hadithia na una ji quote mwenyewe.