Siku nilipoamua kuacha bangi rasmi

Siku nilipoamua kuacha bangi rasmi

Kwangu ni tofauti, nikishaupiga naweza kulala na usingizi ukawa mzuri halafu nitacheka cheka hata kama story haichekeshi
Aise! Huo mmea nilijifunzia kijitonyama miaka ya nyuma sana na jamaa yangu flani, lakini baada ya kuwa na familia na maisha ya kuajiriwa nilijikuta naacha bila sababu nadhani kukosa muda wa kujiachia kwenye vijiwe vya mwanzo!
Ila nilipenda sana hii kitu nilikuwa nikivuta nakuwa mpole kupitiliza na mwenye aibu mno,
Sikupenda mtu anitizame usoni au mtu awe mzungumzaji kupitiliza!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nikiwa na washkaji au nikiona mtu kaamka na hangover asubuhi huwa namuita "LISHE DUNI"

Kilevi chochote kile huwa kinataka lishe nzuri na yakutosha, sasa umetoka kula ugali tembele halafu unavuta ganja hapo ndipo ganja inapoanza kuonekana mbaya wakati mbaya ni wewe mwenyewe.

Anyway, Ngumu kuitafuna, usimeze haraka.

#Bagwell
 
Kwan nn
1581080741615.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina takribani kama miaka 16 kwenye umokaji wa kitu,

Binafsi haijawahi nizingua may be sababu na dingi alikuwa anachoma, maana wanasema kama kwenye ukoo wenu hamna wamokaji lazima ikuzingue...

Ila kuna mwana mmoja nilikuwa namoka nae kama brain imezingua,

But siku hizi sichomi kama enzi zile za secondary, kwa siku unavuta hata ganja 30,

Siku hizi namoka kwa nadra sana....ila vibe la ganja usikwambie mtu
 
Aise! Huo mmea nilijifunzia kijitonyama miaka ya nyuma sana na jamaa yangu flani, lakini baada ya kuwa na familia na maisha ya kuajiriwa nilijikuta naacha bila sababu nadhani kukosa muda wa kujiachia kwenye vijiwe vya mwanzo!
Ila nilipenda sana hii kitu nilikuwa nikivuta nakuwa mpole kupitiliza na mwenye aibu mno,
Sikupenda mtu anitizame usoni au mtu awe mzungumzaji kupitiliza!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu hua haiitaji makelele kabisa. Na upole ndio sifa yake nyingine,so fresh so cool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom