Siku Mzungu alipotudaka akidhani tunauza mazao ya kutoka shambani kwake

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Wazungu ni watu wa ajabu sana, na wanaamini wanaweza wao tu, na sisi hatuwezi na hatuna information za kuweza kufanya kama wao.

Ilitokea mwaka juzi, kuna Mzungu Arusha analima zao fulani hivi, na sisi tukawa tunalima the same zao kama yeye.

Sasa Mzungu katika pitapita zake Soko kuu Arusha akakutana na hiyo product kama yake kabisa, alishituka sana, hakuongea kitu. Baada ya kama wiki akapita tena akaikuta sasa pale alicho fanya akamuuliza muuzaji nani anakuletea hii product? Jamaa kasema kuna watu huwa wanaleta, Ok Mzungu akamwambia basi nakuachia namba na pesa alimpatia kama 100,000/ akamwambia siku wakileta tu, nipigie simu na wacheleweshe hapo kama dakika 10.

Sasa siku ya tukio kuna dogo tulikuwa tunamtumaga ingawa siku zingine nilikuwa naenda mwenyewe, Dogo kapeleka mzigo kufika yule mnunuzi kama alivyo elekezwa na Mzungu akafanya vile, baada ya dakika kama 8 hivi askari wakatinga na Gari wakamuweka Dogo mtu kati, Mzungu hapo yuko njiani anakuja, Mzungu kufika dogo akaanza kubanwa kwamba anatoa wapi product, dogo kamwambia tunashamba ndiko tunako toa.

Mzungu kasema Dogo akawaonyeshe shamba, Gari ikawashwa ya Police na ya Mzungu hadi shambani, Mzungu kufika kweli akaona shamba na product ipo kweli.

Dogo Mzungu alimtoa kama elfu 20 kama samahani ya usumbufu dogo kaona ni kubwa kapotezea, Pilice sijui aliwatoa sh ngapi, aisee nilikuja kupata habari nikasema yaani Mungu mkubwa maana yake ningekuwa ni mimi huo moto usingezimika kamwe, pamoja na kwamba walimalizana kienyeji ila nilimtafuta yule Mzungu nikamweleza live na nikamwambia una bahati maana yake ungeuza hadi hilo shamba.

Mzungu alijua fika kwamba hakuna Waafrica wanao weza kufanya, mbaya ni kwamba tulikuwa tusha pata password ya mbolea anayo tumia na kila kitu so tukawa tunatoa quality sawa na yake.
 
Mimi nafikiri shida siyo uzungu, ni suala la ushindani.

Hata Makampuni Makubwa leo yananua makampuni madogo kuua au kupunguza ushindani.

Siku zote ( Siri ya biashara yako, formula ) ambayo ndio bao la ushindi, ukikuta mtu anayo lazima upate wenge.

Imagine wewe mteja wako mkubwa unayemuuzi Smartphone ajue ni wapi wewe huwa unanunua kwa bei nafuu, lazima upaniki !

Au CocaCola washtuke MoDewji anazalisha kinywaji ladha kama CocaCola lazima washtuke.
 
Zao gani ilo unalolima?? nawe ni mbinafsi kwanini usilitaje ilo zao kama unataka wafrika wengine walime na wafike mbali?? wew pia ni mbinafsi na una roho mbaya kama uyo mzungu tuu shame on you...au una ogopa tutaconnect dot na kujua ulipo sasa kama kuconnet dot maaskari na uyo muuzaji c tunaweza jua upo Arusha semu gani tukiamua fatila taja zao na iyo passward ya mbolea wengine walime wafrika wenzako.

121.
 
Taja ilo zao na passward ya iyo mbolea kwa manufaa ya waafrika wenzako achw ubinafsi....una msema mzungu wakati na ww umejawa choyo na roho mbaya tuu...

121.
Unajua Mkuu Una Dharau Sana Wewe
Hivi Avatar Hiyo Unakusudia Nini
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa 😁😂
 
Kumbe kuna wazungu pia wanalima kwa ajili ya soko la ndani?

Au ndo akina Richard Mabala waliozamia huku jumla?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Unajua Mkuu Una Dharau Sana Wewe
Hivi Avatar Hiyo Unakusudia Nini
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa
Mm ni kijana wake makini sana wa mkuu na nimeajiriwa kwny wizara yake moja namkubali sana mkuu

121.
 
Zao gani ilo unalolima?? nawe ni mbinafsi kwanini usilitaje ilo zao kama unataka wafrika wengine walime na wafike mbali?? wew pia ni mbinafsi na una roho mbaya kama uyo mzungu tuu shame on you...au una ogopa tutaconnect dot na kujua ulipo sasa kama kuconnet dot maaskari na uyo muuzaji c tunaweza jua upo Arusha semu gani tukiamua fatila taja zao na iyo passward ya mbolea wengine walime wafrika wenzako.

121.
Nadhani ni Strawberry

If you want to Kill, KILL don't talk.
 
Arusha Mkuu... Zao la Arusha
 
Strawberry
 
Zao gani ilo unalolima?? nawe ni mbinafsi kwanini usilitaje ilo zao kama unataka wafrika wengine walime na wafike mbali?? wew pia ni mbinafsi na una roho mbaya kama uyo mzungu tuu shame on you...au una ogopa tutaconnect dot na kujua ulipo sasa kama kuconnet dot maaskari na uyo muuzaji c tunaweza jua upo Arusha semu gani tukiamua fatila taja zao na iyo passward ya mbolea wengine walime wafrika wenzako.

121.
Taja ilo zao na passward ya iyo mbolea kwa manufaa ya waafrika wenzako achw ubinafsi....una msema mzungu wakati na ww umejawa choyo na roho mbaya tuu...

121.
Nadhani ni Strawberry

If you want to Kill, KILL don't talk.
Write your reply...Mbona na wewe msiri sana kama Beberu unayemsema hapa. Au mnalima Bangi???????
Analima Dragon Fruits wakuu,
Screenshot_20200526-151923-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa Ilikuwa ni Berries mkuu
Zao gani ilo unalolima?? nawe ni mbinafsi kwanini usilitaje ilo zao kama unataka wafrika wengine walime na wafike mbali?? wew pia ni mbinafsi na una roho mbaya kama uyo mzungu tuu shame on you...au una ogopa tutaconnect dot na kujua ulipo sasa kama kuconnet dot maaskari na uyo muuzaji c tunaweza jua upo Arusha semu gani tukiamua fatila taja zao na iyo passward ya mbolea wengine walime wafrika wenzako.

121.
 
Hahaaa karibu

Back
Top Bottom