Ama kweli kila kitabu na zama zake,saa hizi ukiyataja hayo majina utaulizwa hao ndio nani?pia kweny enzi hizo alikuwepo marehemu Ipi Malecela ,da jamaa walitikisa Dar na walikula bata sana.Kwenye video ya Tunda special ya Muumin Mwinjuma yupo Idd Janguo pia na micheni yake kutoka Texas.
Na video za awali za Twanga Haji Janguo naye aliuza fuvu kwenye zile video akiwa na kamarade Ally Choki.
Kitabu hiki cha Chande nilikinunua Arusha Jumatano Juni 2008 kwenye Sulllivan Summit.
MAUDHUI: 'Chini panakwenda watu' Yani wengine kwenye UFAHAMU ilikuwa hata utufumbe vipi tulikuwa twajua jibu lipo mulemule.Sijaelewa hii story maudhui yake nini ?
Mohamed: bahati mbaya (nzuri?) wewe sikujui lakini Janguo na Dau na Chande nawajua. Kama Dau alikukabidhi madaraka itakuwa ni kwa kukupenda mujaheedina mwenziye na si vinginevyo. Cairo Road mlienda kufanya nini?William...
Unaandika vizuri na nakuelewa vyema.
Sina sababu ya kusema uongo.
Niliyokueleza ndivyo ilivyotokea.
Si hilo tu.
Nimewahi vilevile kuwa katika ''delegation,'' ya Bandari iliyokwenda Lusaka,
Zambia kuhudhuria mkutano ambao wajumbe ni wakurugenzi.
Kulikuwa na Kamati ikiitwa Transport Coordination Committee ambayo
ilijumuisha THA, TAZARA, TRC na wengine sikumbuki maana miaka imepita
hawa ni watumia bandari na wasafirishaji kutoka Zambia, Malawi na Congo.
Tulikuwa na mikutano tukifanya Malawi na Zambia kila baada ya muda hivi na
ikizunguka kati ya nchi hizo.
Azma ya mikutano hii ilikuwa kujaribu kuleta ufanisi Bandari ya Dar es Salaam
kwa kukutana mara kwa mara na kujadili matatizo ya usafirishaji wa mizigo.
Waliokuwa wanahudhuria vikao hivi katika nchi hizo ni Mkurugenzi Mkuu,
Mkurugenzi wa Masoko na Mkurugenzi wa Utekelezaji.
Ikatokea kuwa Mkurugenzi wa Masoko Dr. Dau alikuwa Ulaya na ofisi ninakaimu
mimi.
Kwa adabu za ofisi nilimpelekea mkubwa wangu taarifa ya mkutano wa Lusaka
na nikamfahamisha kuwa napeleka taarifa kwa ''travel agent,'' atayarishe tiketi yake
ili yeye atue Nairobi na hapo aunganishe ndege moja kwa moja hadi Lusaka badala
ya kuja Dar kwa hofu ya kuchelewa kikao.
Jibu lililokuja kwangu kutoka wa Dr. Dau ni kuwa yeye ofisi ameniachia nakaimu kwa
hiyo nitimize wajibu wangu.
Mimi nilisafiri na wakurugenzi hao niliokutajia hapo juu kwenda Lusaka kwenye
mkutano ule.
Iko picha tumepiga Pomodzi Hotel Lusaka niko bega kwa bega na wazee wangu
wakurugenzi.
Kwako lipi kubwa hili la Chande au hili la Lusaka?
Nina mengi.
Hayo ya kutoeleza utafishaji wa mabenki nisingeweza kuyaandika katika kitabu cha
Sykes kwani si mahali pake.
William...Mohamed: bahati mbaya (nzuri?) wewe sikujui lakini Janguo na Dau na Chande nawajua. Kama Dau alikukabidhi madaraka itakuwa ni kwa kukupenda mujaheedina mwenziye na si vinginevyo. Cairo Road mlienda kufanya nini?
Directorate ya Marketing nawajua maafisa si china ya 5 waliokuzidi (nasema walikuzidi kwa vile setup yake ninaijua na wewe si mmojawapo. Kwenye ngazi iliyofuata chini yao kulikuwa na wati 17, inawezekana labda umo humo, lakini way way down.
Kwa mdomo wako mwenyewe umesema siku ile (yako na Chande) Janguo aliamua yeye kupresent ripoti ya marketing: ni kwa sababu hakuona mtu. Fani yako wewe ni insurance mambo ya marketing wapi na wapi?
WM
Kazi ipo....uzi huu hajashutumiwa Nyerere...leo Kuna maajabuSwadakta umeniondolea utata, nadhani Bakita ndio wanajuwa usahihi zaidi.
Mzee wangu Mohamed niliwahi kukuomba uandike kidogo tanzia ya sir kahama hujanijibu kabisaMatola tumetoka katika taazia ya Chande tumekwenda kwengine kabisa.
Maishapopote,Mzee wangu Mohamed niliwahi kukuomba uandike kidogo tanzia ya sir kahama hujanijibu kabisa
Ok..lkn kama utaniahidi utaiandika ntashkuruMaisha popote niwie radhi kuwa sijakujibu.
Kuna mambo sharti uyape muda kuyaandika.
Nitakupa mfano.
Daisy Sykes alipokufa baba yake 1968 alitaka kuandika historia yake.
Mwalimu wake wa historia John Iliffe alimwambia hilo ni somo zito linahitaji kupewa muda.
Alimwambia hivi kwa sababu tayari palishatokea maneno kuhusu historia ya TANU.
Hakutaka Daisy amwage petrol kwenye moto.
Mahoza,Mzee wetu tunashukuru kwa kutupa elimu ambayo wengi hawaijui. Nakuombea kwa Allah( S.W) akuzidishie pale palipopungua. Amina.
Bandari iliwanufaisha sana watu wa imani ile, kwahiyo hapo Nyerere hakuwa na tatizo.Kazi ipo....uzi huu hajashutumiwa Nyerere...leo Kuna maajabu
Huu uzi umeweka wazi mambo mengi sana....ukweli ni kitu cha ajabu. Hakuna anayeweza kuufutaBandari iliwanufaisha sana watu wa imani ile, kwahiyo hapo Nyerere hakuwa na tatizo.