Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,377
Reaction score
28,493
Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.

GOAT ni mmoja tu!

Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.

Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
20250823_223034.jpg
 
View attachment 3450608
Jamaa yupo vizuri sana sema hakuwa na bahati timu yake ya taifa kipindi yupo on fire haikuwa mzuri sana.

Ila ingekuwa kipindi hichi Cha kina Mendez na vita.
Afu yeye anamiaka 27 au 28 yupo moto.
Naamini world cup angekiwasha sana
 
Ila tayar muda umefika

Mashetani yalishaamua huu ushindani na kumpa Messi kombe la dunia,toka hapo mimi sipendelei tena kubishana kuhusiana na hawa watu wawili ingawaje nipo upande wa cr7
 
Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.

GOAT ni mmoja tu!

Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.

Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
View attachment 3450608
Kwa hiyo mipira huwa anatoka nayo golini hadi golini. Messi huwezi linganisha na hii mbwa. Messi anaweza cheza kama beki, midfielder Na forward Pia. Hili dude lako liko stationary TU likisubiri mpira ufike akimbie kama mwehu
 
Kwakweli PSG ili mshinda na huko marekani hakuna kitu anafanya bwana Messi. Amefeli fainali ya Fifa wc 1 na wakati mwamba camel Goat hajawaipoteza fainali ya kombe la Dunia
 
Amefeli kabisaaa ila angalia mwamba ronnny kila mahala yeye ni net ,tusubirie asajiliwe mwezini ili hawa pimbi wamuheshimu🤣
 
Yule andunje utake usitake, ni bora zaidi ya cr7..
Ukizungumzia mpira tu basi messi ni pele wa zama hizi, messi akupa kila kitu, mpaka unaburudika na kumtizama.
Cr7 huwezi kuinjoi kumtizama akicheza, ye alishagundua kuwa ili awike ni kufunga, haijalishi goli la namna gani, muhimu afunge tu
 
Kwa hiyo mipira huwa anatoka nayo golini hadi golini. Messi huwezi linganisha na hii mbwa. Messi anaweza cheza kama beki, midfielder Na forward Pia. Hili dude lako liko stationary TU likisubiri mpira ufike akimbie kama mwehu
😂😂😂😂😂
 
Ni kweli cr7 analijua goli sio mchezo lkn swala la kumlinganisha na yule pimbi hapana aisee

Messi alishatawazwa kuwa ndiye bora aisee nadhan hata wew mleta maada unalijua hilo labda umeamua uchangamshe jukwaa kdg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom