Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

Yule andunje utake usitake, ni bora zaidi ya cr7..
Ukizungumzia mpira tu basi messi ni pele wa zama hizi, messi akupa kila kitu, mpaka unaburudika na kumtizama.
Cr7 huwezi kuinjoi kumtizama akicheza, ye alishagundua kuwa ili awike ni kufunga, haijalishi goli la namna gani, muhimu afunge tu
Si kwamba hatujui haya yote
Si kwamba hatujui kuwa huyu wetu a anafunga tu wakati yule wenu anacheza Mpira na kufunga.
Hatutaki kukubali kuwa Messi ni mzuri kuliko mfungaji wetu😀
Sisi tumeamua kuona kila alichoshinda Messi ni fake🤔
MESSI IS LIKE A PORN MOVIE......
 
Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.

GOAT ni mmoja tu!

Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.

Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
View attachment 3450608

Striker na messi wapi na wapi? Ronaldo anacheza mbele, messi anaanzia nyuma....Nafasi anayocheza ronaldo kwa messi yangefika magoli 2000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom