Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,515
- 40,627
- Thread starter
- #21
Tupo wachache sana, ndio maana wengine wanaona ni uongoUwongoo....uwongoo huo ni uwongooo
Tupo wachache sana, ndio maana wengine wanaona ni uongoUwongoo....uwongoo huo ni uwongooo
Waje watupe abc
Mwanaume halisi, aogopi majukumuIssues iliisha simpo laiki zati😂
ABC gan leo hao lako?Waje watupe abc
Bro majukumu kwa mke wa mtu, watakuja wakuuweMwanaume halisi, aogopi majukumu
Sasa,dah nakwama kidogo!Hebu nyoosha maneno.Nia yake ilikuwa kukujulisha tu kwamba ana ujauzito wako?Au ilikuwa ni kukufahamisha tatizo kubwa lingetokea mumewe angejua?Au kukuomba ruhusa ya kuutoa ujauzito?Au kukuona ungepokeaje taarifa ya ujauzito huo?Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema kwenye simu yako hakupati.
Nikamuuliza ana tatizo gani? akajibu, ''anasema ana ujauzito wako, pia yeye ana mume, na wewe una mke kwa hiyo ni changamoto; pia anahofia mumewe akijua itakuwa tatizo kubwa.'' Nikamuuliza yuko wapi, na anaitwa nani?, aliponiambia jina tu, nikakumbuka kweli nilishakuwa naye kwenye mahusiano.
Basi tukapeana 'appointment' kesho yake tuonane, mida ya saa tatu usiku.
Muda ulipofika nikaenda zangu kwenye eneo la tukio, nikawa napiga mvinyo wangu taratibu. Baada ya kama dakika 20 wakawa wamefika, wadada wawili, pamoja na huyo rafiki yangu.
Tukasalimiana, na mhudumu akaja kuwahudumia.
Kutokana na mbinu nilizozipata jando, kama mwanaume kamili, sitakiwi kumuharasi mtoto wa kike, zaidi ya kumpeti peti tu.
Tukawa tunapiga stori nyingi tu, za kuchekesha ili kumuweka sawa na ajione hakukosea kukutana na mimi; baada ya lisaa limoja na nusu kupita, nikamsogelea mrembo, na mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: Niambie mpenzi wangu, unachangamoto gani?
Yeye : Unajua baby, nina ujauzito wako
Mimi: (Sikushtuka, nikawa nampiga mgongoni kidogo ili aweze kupata joto), Sawa, wewe ulikuwa unatakaje; kwa sababu mimi nakusikiliza wewe, utakachokitaka mimi sitapinga?
Yeye: Mimi nataka nitoe, kwa sababu mume wangu akijua itakuwa tatizo
Mimi: Sawa ata ungetaka kuzaa kwangu haina shida, mi napenda watoto, nami kuwa na watoto wengi ni furaha pia
Yeye: Hapana, itaniharibia ndoa, naomba ukubaliane na maamuzi yangu.
Mimi: Sawa, nakubaliana na maamuzi yako,utakapokwama usisite kunijulisha
Yeye: (Akachukua glass tukagonga 'cheers' akani 'kiss' tukaendelea kupiga mvinyo huku tukiwa na furaha tele, akiwa ananiimbia wimbo fulani hivi wa mahaba)
Baada ya kukaa muda mrefu, tuliagana na wao wakaondoka; baada ya kufika akanipigia simu kwa furaha sana; akanishukuru kwa kumpokea vizuri, kwa sababu alikuwa akihisi labda ningemtukana au ningekataa huo ujauzito.
Akasema ''Equation x, you are a real gentleman''
Maisha ni safari isiyokuwa na likizoABC gan leo hao lako?
Ukiwa mwanajeshi usiogope kwenda vitaniBro majukumu kwa mke wa mtu, watakuja wakuuwe
Hii kamba kabisa. Mimi mchepuko aliponitumia sms ana mimba yangu presha ilipanda nikawahishwa hospital.Hapa mkuu umetupa chai kwenye kombe kubwaa
Mara nyingi mtu akiwa na tatizo kwa mara ya kwanza, kisaikolojia huwa kinamtesa na wakati mwingine anaweza kukata tamaa; alipokuja akawa mwepesi na kuona vitu vyote vinawezekana.Sasa,dah nakwama kidogo!Hebu nyoosha maneno.Nia yake ilikuwa kukujulisha tu kwamba ana ujauzito wako?Au ilikuwa ni kukufahamisha tatizo kubwa lingetokea mumewe angejua?Au kukuomba ruhusa ya kuutoa ujauzito?Au kukuona ungepokeaje taarifa ya ujauzito huo?
Hata hivyo,at last,nini kilotokea?Alitoa ujauzito au aliutunza na kupata mtoto?Ikawaje?
Kwa nini ulipatwa na mshtuko?Hii kamba kabisa. Mimi mchepuko aliponitumia sms ana mimba yangu presha ilipanda nikawahishwa hospital.
Enheee...!Ulimpa liwazo la moyo,halafu hayo maswali mengine?Mara nyingi mtu akiwa na tatizo kwa mara ya kwanza, kisaikolojia huwa kinamtesa na wakati mwingine anaweza kukata tamaa; alipokuja akawa mwepesi na kuona vitu vyote vinawezekana.
Hayo mengine tutayajibu siku nyingineEnheee...!Ulimpa liwazo la moyo,halafu hayo maswali mengine?
Kuna nini hapo?
Asante dear.. nimefika.. Ngoja nianze kuisoma naona Saivi Entertainment kumekuchaaa story kama zoutee!!
Nina mke tayari na ananipenda sana nami pia nampenda mno. halafu zinakuja taharifa kama hizo tena kwa mchepuko niliyechepuka nae bahati mbaya kwasababu ya pombe kweli?Kwa nini ulipatwa na mshtuko?